Chelsea FC (The Blues) | Special Thread



Pay back time .... .... Khe khe khe kheeeeeeeeeeeee​
 
Leo hamna pakutokea ni kipigo tu....tena natabiri mtapigwa 6 na red card moja.
 
4-1 oooppps

Jamaa zangu hawakuangalia hii mechi? Kwa wasivyojiamini wanasubiri washinde ndo watokelezee.

Alafu kuna mtu kasema Chelsea are a team to watch. Eti?? Kupaki bus na kuvizia counter kunavutia eh?
 


Mnyama huyu anaitwa ILAMA anaishi mbuga za ilama Sussex zilizoko Marekani ya kusini.. ametabiri Chelsea watakuwa mabingwa hapo kesho dhidi ya wababe wa Bayern munchen.

The llama was given the option of picking between two coloured balls placed on top of two wooden polls which represent each side., and between the two alichagua Chelsea as seen above the pic.

Anaaminika na utabiri wake baada ya kutabiri Chelsea watashinda dhidi ya Liverpool katika kombe la FA wiki mbili zilizopita.

SOURCE:
Football-loving 'psychic' llama predicts Chelsea Champions League glory | Metro.co.uk



 

Mimi nina kuku maskani alitabiri utabiri wa chelsea dhidi ya liverpool FA cup final lakini kwa hii ya champions league katabiri bayern mabingwa. Sasa tutaona huyo ILAMA WENU NA KUKU WANGU NANI MTABIRI WA KWELI.
 
chelsea bingwa hureee spurs out of champions league
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…