Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahahha mendi au mende [emoji26][emoji26][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Game ya leo hata baada ya sub ya kai hakuna chochote tulichokifanya, hakuna hata uhai ulioonekana
 
Mkuu umeongea ooint nzuri sana. Japo sijaangalia mpira ila uwepo wa Kante na Kova kwny midfield ni advantage kubwa sana kwetu. Halafu Mount na Kai wote ni attacking midfield wanacheza pamoja ina maana unataka ushambulie tu huku ukiacha space kubwa kuzima mashambulizi ya mpinzani. Hawa watoto wakicheza pamoja Kante anakua na kazi kubwa zaidi na inakua advantage kwa timu pinzani nadhani hapo ndipo Wolves walipotuwezea
 
WachambuZi uchwara waje hapa , wazee wa formations ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!! Mmepoteana Kama mmemwagiwa upupu , na bado ! Next stop hammers, ile mijamaa ina miguvu ,, high pressing , kina Kai wataomba maji ya kunywa [emoji1787][emoji1787]
 
Alhamisi tunampita Chelsea kama wamesimama maana Sheffield United kazi ni ndogo tu..na bado tuna mechi mkononi
 
Tumetiwa kidole, na bado arsenal na ubovu wake watatutia.
 
Wataomba maji na leso
 
Alhamisi tunampita Chelsea kama wamesimama maana Sheffield United kazi ni ndogo tu..na bado tuna mechi mkononi
Lampard ni kilaza sana, kweli hata kama ni mahaba kwa Abraham diyo kumtoa Giroud mechi ngumu kama ile ili utopolo uingie? Furahini washabiki wa timu zote tena narudia furahini sana.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Alhamisi tunampita Chelsea kama wamesimama maana Sheffield United kazi ni ndogo tu..na bado tuna mechi mkononi
Ole na Frank tofauti yao miondoko tu lkn uwezo ni huu huu.

Sio ajabu Sheffield akazindukia kwa Ole
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…