Asante sana Nabii wa wapi tena?. Nitakutafuta unitabirie na mambo yangu hayaendi vizuriNext Five Games:
Wolves (A), Westham (H), Arsenal (A), Aston Villa (H) and Man City (A).
Hapo natabiri kwamba mtapoteza points walau 6. i.e 3 wins 2 losses, au 2 wins, 2 draws na 1 loss.
We jamaa mpira uliangalia wapi? Hawajacreat big chance hata moja?Hii timu imemiliki mpira kwa 70%+ lakini imeshindwa kucreate big chance hata moja. Timu nyingine ambayo jana haijacreate big chance hata moja ni man u. Unadhani ni coincidence?
Mimi nasema hapana.
Zote zinafundishwa na former players ambao hawana uzoefu na ukocha. Muda mwingine unakua hauchezi na timu unakua unacheza na kocha.
Ukikutana na Everton au Tottenham ya sasa wewe uko kwenye mapambano na kocha. So msinune wala msiteseke ndiyo sababu walivyokutana ole na frank ikawa sare (tena ya bila kufungana) wakati ukiangalia kikosi unaona magoli yangetiririka plus ile namba 3 ya mdhamini ingekua ni bandika bandua.
Kumbe wanabahatisha.
Mkuu inategemea na game, kuna game unahitaj wachezaj wako wanaoweza kucreate chances wawepoWanapata matokeo kabisa. Walishawakosa UCL group stage na hawakufungwa
Jana tulikosa watu ambao wanaweza wakawavuta mabeki wa tim pinzan na kuruhus nafasiEverton jana walicheza na mentality ya ushindi tofauti na Chelsea, hasa katikati na mbele hawakuwa na mentality ya ushindi kama game zingine. Pamoja na injuries na wachezaji wa mbele kucheza out of position, factor nyingine ndio hiyo ya mentality na creativity au mabeki wa Everton waliwanyamazisha, may be
Kutengeneza huo mfumo ni mpaka iwe unaujua na Lampard haonekani kufahamu mengi katika mikakati ya ushindi. Yeye anataka kuendelea kasajili wachezaji wakubwa mpaka siku wachezaji wenyewe watengeze combination.Hapa upo sawa kabisa. Makocha hawana uzoefu wanaishia kutegemea ubora wa wachezaji.
Injuries za Liverpool, Klop anakupangia mchezaji yoyote still timu inashinda kwa mbinu zake. Sisi tunawakosa wachezaji wawili tuu kikosini timu haipati matokeo.
Lampard atengeneze mfumo wa ubingwa ambao kila mchezaji atakayepangwa anadeliver kilicho bora
Enhe twende na uongo.We jamaa mpira uliangalia wapi? Hawajacreat big chance hata moja?
Wolves nao wana jambo lao.Jana tumepoteza hatutakiwi kumtafuta mchawi ni nani
Tujipange game ijayo dhidi ya wolves,
Asante sana Nabii wa wapi tena?. Nitakutafuta unitabirie na mambo yangu hayaendi vizuri
Wana kikao cha kuamua wanazika wapi
Open forum pale tu Chelsea FC ikifungwa ilihali ikishinda hakuna hata anayeonekana hapa, au ninyi ndiyo wale watimizao usemi wa "maisha bila unafki hayaendi"? hahaaa...haya endelea kutupatia za uso ili nasi tuje tuwakilishwe na kamati ya roho mbaya wenzio wanaohangaikaga ktk uzi wenu wa Liverpool FC.Hamkuzuiwa kuja, hii ni open forum.
Mkitaka tusije tengenezeni group la WhatsApp au Telegram.
We njoo tu hata nami naelewa vizuri sana siku yakikuangukia kushoto wapo wataokuja kukupiga za chembe huko kwenu Liverpool FC thread.Wewe hukuja wenzako walikuja
Ni vizuri kufariji wafiwa
Liverpool asilimia kubwa kocha na wachezaji walitumia uzoefu tofauti na wachezaji wa Chelsea ambapo wengi wao si wazoefu ktk epl.Liverpool aliwakosa wachezaji kibao kwa injuries still alikuwa anashinda kibingwa tena mechi ngumu kwa kuwatumia madogo + mfumo bora + mbinu bora za Klop
Chelsea bado sana mfumo wa uchezaji, bado sana mbinu za mwalimu, bado sana quality players TUNABAHATISHA
Kuwa mpole kijana, 26 epl matches are still not yet to be played there, safari bado ni ndefu tena yenye milima na mabonde. Zingekuwa zimebaki mechi 10 au 8 kidogo hapo ningekuelewa.Hiyo mechi moja tunayopoteza Liverpool anaishinda. Ubingwa tunauchukua vipi sasa?
Inaonekana kile kichapo cha 7-0 toka kwa Aston Villa bado hakijakutoka rohoni maana si kwa hili povu ulilokuwa unatafutia pa kulitolea haha hahaaaaa...Mimi niliwahi kusema Chelsea ina plastic kibao. Kuna mmoja alikua uzi wa liva anatukana watu walipopigwa goli moja akayeyuka juu kwa juu na huku wote wamepotea.
Wametususia maiti.
Chelsea ina plastic fans tu. Mwingine juzi anasema eti level yao kubwa wapinzani wa chelsea ni Madrid, Barcelona na Bayern. Leo anasema hua wanashinda kwa kubahatisha.
Hii timu ina mashabiki wanaoamini utatuzi ni usajili tu. Wiki nyuma mtu anakuambia wana kikosi kipana (na no kweli) leo anasema inabidi wasajili winger. Unabaki unashangaa "Huyu anaelewa nini juu ya kikosi kipana?" Hapo hapo anasema mfumo (yaani 4 3 3) imewaangusha wakati huu mfumo wametumia mara nyingi na wameshinda.
Sawa shehe Yahaya uliyepo kwenye kamati ya roho mbaya kwa utabiri ili ujikalie kileleni kirahisi tu, lkn hii nukuu tunaihifadhi kwa mechi zijazo ili ikiwa hivyo tuwe tunakutumia kwenye mikeka yetu ya kubeti.Next Five Games:
Wolves (A), Westham (H), Arsenal (A), Aston Villa (H) and Man City (A).
Hapo natabiri kwamba mtapoteza points walau 6. i.e 3 wins 2 losses, au 2 wins, 2 draws na 1 loss.
Hakuna tim inayoweza cheza 38 games bila kudrop ptsHiyo mechi moja tunayopoteza Liverpool anaishinda. Ubingwa tunauchukua vipi sasa?
Sawa Mama Kidawa.Hii timu ina washabiki vitoto vingi sanaa mkuu tena ni hiv vitoto vinavyo vaa vipensi na soksi .