Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,050
- 27,455
Watupe yoyote hapo na sio AtleticoHatua ya mtoano timu Chelsea anaweza kupewa ni zile zolizoshika nafasi ya pili
Barcelona,reizpng , Atalanta,atletico ,fc porto ,m'gladbach
Wadau yupi apo unpend tukutane nae
Kwangu mm watupe fc porto au Barcelona
Munich kaongoza kundi hatuwezi kupewa huyo. Labda Atletico MadridNatamani tupewe Munich
Hii ndo shida ya kuangalia soka huku ukiwa umelewa.Maoni yangu kw mechi ya jana naona kama Havertz tumepigwa. Abraham hafai hata kuwa ball boy wa chelsea. Gilmor atakuja kuwa bonge la mchezaji.
Aisee buyern hakuna mtu anayemtaka [emoji3][emoji3][emoji3]Lampard tactics vs Hans Flick tactics
Chelsea players quality vs Munich players quality
Liver mwenyw anamuogopa bayern, Bayern wa sahizi ni wa moto kuliko yule wa misimu mitatu nyumaAisee buyern hakuna mtu anayemtaka [emoji3][emoji3][emoji3]
Wale jamaa sioni saizi yao zaidi ya liverpool,liverpool ndio anaweza mpiga buyern kwa England, wengine inabid muombe dua zote,msikutane
Nyie wengine omben dua msikutane, ndio utakuwa mwisho wenu wa Safari
Bc BarcelonaMunich kaongoza kundi hatuwezi kupewa huyo. Labda Atletico Madrid
Hy ndio njia pekee ya kujua upana wa kikosi chetu, c tunashinda sana.Wewe jamaa sijuu unajiamin nini
Mpaka unaomba kifo kije mbele yako [emoji16][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Natamani tupewe Munich
Hawa wote tunawapiga kirahis mno tena mnoHatua ya mtoano timu Chelsea anaweza kupewa ni zile zolizoshika nafasi ya pili
Barcelona,reizpng , Atalanta,atletico ,fc porto ,m'gladbach
Wadau yupi apo unpend tukutane nae
Kwangu mm watupe fc porto au Barcelona
Analewa mama yako. Koma.Hii ndo shida ya kuangalia soka huku ukiwa umelewa.
Maoni yangu kw mechi ya jana naona kama Havertz tumepigwa. Abraham hafai hata kuwa ball boy wa chelsea. Gilmor atakuja kuwa bonge la mchezaji.
Kusonga mbele zaidi ina faida kwenye timu, tukifika fainali au hata nusu itakuwa bora zaidi kulika tukitolewa GO16 au quarter final
Mimi naamini Chelsea ina uwezo wa kufika fainali ikifeli kabisa nusu fainali. Form ya Timo, Pulisic na Ziyech na wachezaji wengine muhimu ikipanda na kuepuka injury ndoo tunabeba
Dah wacha tuige formula ya kukufunga kutoka kwa villa
Lepziq hawezi kukutana na timu za EPL mfulilizo labda robo fainali.
Mbadala wa Silva na kanteDirisha dogo la January tunasajili position ipi?