Aya sawa mimi nliona unaitetea sana arse8 ndo nikajua utakuwa mnazi wa arse8Nimekubali ila sijui umetumia kigezo gani kunifananisha na Arsenal. Timu yangu ndiyo bora zaidi pale London.
Ndio nakuuliza hukuona nafasi zilizotengenezwa?Mpira umechezwa mkuu sana tu, kiungo yenu imecheza sana na mpira, sana.
Mimi nazungumzia kutengeneza nafasi za magoli, kucheza ukiwa na malengo ya kushambulia, kutafuta goli.
Abraham anaendelea kupata experience kadri anavyocheza mechi ngumu. Mzunguko wa pili nawaambia atazifunga big timu zote.
Ndio nakuuliza hukuona nafasi zilizotengenezwa?
Hata mimi naona hivyo Lampard abadilike sasa. Zile dkk anazopewa Tammy nadhani apewe Giroud halafu iwe viceversa. Huyu dogo jana katu cost tungekua tunaongoza ligi mda huuMapendekezo yangu hapo angecheza Timo au Giroud, huyu Abrahama apewe muda mdogo akomae, naona hata Odoi ni bora kuliko Abraham hata kama wanacheza namba tofauti, Odoi angecheza nafasi ya Pulisic na Timo akacheza no. 9, matokeo jana yangekuwa tofauti
Kwangu Abraham hajacost chochote, tuangalie na aina ya mabeki waliomkaba Abraham. Mbona Giroud hajaleta impact yoyote. Matokeo ya sare ni matokeo mazuri sana kwetu. Abraham aendelee kuwa 1st eleven panga pangua, Giroud auzwe January Abraham acheze comfarable.Hata mimi naona hivyo Lampard abadilike sasa. Zile dkk anazopewa Tammy nadhani apewe Giroud halafu iwe viceversa. Huyu dogo jana katu cost tungekua tunaongoza ligi mda huu
Hao wote hao wanacheza namba ya timo ambae kwa sasa anacheza lw coz ya pulisic kuwa injury ila pulisic akiwa full fit timo acheze 9Hata mimi naona hivyo Lampard abadilike sasa. Zile dkk anazopewa Tammy nadhani apewe Giroud halafu iwe viceversa. Huyu dogo jana katu cost tungekua tunaongoza ligi mda huu
Uko sahihi kabisa mkuu. ExcellentKwangu Abraham hajacost chochote, tuangalie na aina ya mabeki waliomkaba Abraham. Mbona Giroud hajaleta impact yoyote. Matokeo ya sare ni matokeo mazuri sana kwetu. Abraham aendelee kuwa 1st eleven panga pangua, Giroud auzwe January Abraham acheze comfarable.
Nadhani kuanzia game ijayo Timo atarudi namba yake kwa sababu Pulisic kashaponaHao wote hao wanacheza namba ya timo ambae kwa sasa anacheza lw coz ya pulisic kuwa injury ila pulisic akiwa full fit timo acheze 9
Iwe
Pulisic werner ziyech
Mimi ni mpenzi mkubwa wa Lampard ila hapo kwa Abraham simuelewi kabisa, labda anaona tusioweza kuona sisi ila kweli hata kama Tamy Abrahama atatufaa huko mbeleni, asiwekwe kwenye big matches. Jana angekuwepo Giroud au Timo kwenye striker na Odoi kushoto tungepata sio chini ya bao 2Kuendelea kumpa nafasi Abraham wakati Odoi, Olivier wanasugua benchi ni ujinga mkubwa mno. Hivi hilo takataka huwa anaangalia ata clip zake baada ya mchezo.!!! Nashangaa sana kila siku makosa ni yale yale, pumbavu limeregea sana yaani hawezi kukaa na mpira lazima apoteze.
Sema wazi hasa Tammy, kwa sababu Mount, Chilwell, Reece wanastahili kuwepo pale walipoKweli mkuu lampard na wachezaji wanastahili credit ...kuwazima son na Kane most lethal strikers in EPL KWA sasa linahitaji credit ...bado ni developing coach atakuwa vizuri ..guardiola na city yake kala chuma 2 wiki iliyopita.kinachomsumbua lampard ni English player favouritism ndo weakness. Yake
Yeah kweli asante KWA kunisahihisha km ingekuwa English player favouritism tungeona na odoi naye anapata nafac lkn sivyo ....huyu Tammy lamps cjui anaona non sisi hatukiona binafs naona bora angeanza giroudSema wazi hasa Tammy, kwa sababu Mount, Chilwell, Reece wanastahili kuwepo pale walipo