Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Kuna watu hulazimisha anachopenda/anachoamini yeye basi mwingine afanane na mawazo yake, huo ni utopolo kama utopolo tu.Kwani hapo wanapocheza umewafundisha wewe
Refer msim uliopita aliwafungaje hao.Huo ndio mpira, sio mpira wa kupasiana mabeki dk.90 zote.
Tuongee ukweli lampard anauwezo wa kumfunga nani hapo?
Asante kwa kuelewa kuwa hatuwezi kufanana kimawazo, so na ww usifosi tupende/tuamini unachokiamini.Kuna watu hulazimisha anachopenda/anachoamini yeye basi mwingine afanane na mawazo yake, huo ni utopolo kama utopolo tu.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Mbona keshawafunga woteHuo ndio mpira, sio mpira wa kupasiana mabeki dk.90 zote.
Tuongee ukweli lampard anauwezo wa kumfunga nani hapo?
Aisee Watu wanasahau kwa kweliMbona keshawafunga wote
Tulimfunga pep lkn nafikiri ilikuwa ulinzi shirikishi maana city akimiliki mpira sana lkn akatoka na on target 2 ....na kante akikaa dmf km anayokaa sasahvRefer msim uliopita aliwafungaje hao.
Josee kafungwa home n away
Pep kafa stamford 2-1
Kuna lingine tena??? Unataka kujua
Son 1=Arsenal Team , son kafunga goli Tisa ,team ya arsenal imefunga goli Tisa ,wewe ndio unayo team kazana.Hamna timu humu
Hapo umemzima kama kibatari hawezi akarudi tena.Son 1=Arsenal Team , son kafunga goli Tisa ,team ya arsenal imefunga goli Tisa ,wewe ndio unayo team kazana.
Hii gemu na spurs itakua ngum sana upande wetuWiki ijayo tunamtoa Spurs kwenye nafasi ya kwanza au ya pili itadepend na kesho kati ya Lcity na Liverpool
Hatari sana mkuu, yani itambidi Lampard ajipange kimbinu zaidi maana Mourinho huwa anaangaliaga short on target kuliko chochote linapokuja swala la kutafuta point, japo naamini tunaweza tukashinda hiyo mechi.Huyu Spurs anaoendelea iv itakua ngumu sana kumfunga ,match n Spurs mabek inbd wawe makini san son na kane hawa jamaa ni hatar , kama jana spurs yey hakuwa na shida ya kupigae mpira mwingi anatafut tu goli la mpema anapaki basi
So lampard inabid afanye kazi ya Ziada
Spurs nimwepesi sana sema Man City pumzi zimekata ndo maana spurs alijichukulia ujiko,lakini siyo kwamba spurs anampira wakutisha.Huyu Spurs anaoendelea iv itakua ngumu sana kumfunga ,match n Spurs mabek inbd wawe makini san son na kane hawa jamaa ni hatar , kama jana spurs yey hakuwa na shida ya kupigae mpira mwingi anatafut tu goli la mpema anapaki basi
So lampard inabid afanye kazi ya Ziada
Spurs nimwepesi sana sema Man City pumzi zimekata ndo maana spurs alijichukulia ujiko,lakini siyo kwamba spurs anampira wakutisha.
Wakati nawataja makocha wenye mbinu nilipomuweka MOU mwanzoni kuna watu hawakunielewa, PEP ni Lampard mwenye uzoefu tu, wanadepend sana kwenye falsafa ya mpira kuliko tactics na trick za kuleta matokeo. Ndio maana hata baada ya HT uchezaji ni ule ule na MOU anawapatiaga hapo makocha wenye kutanguliza mazoea. Hata kama Lampard alimfunga home and away msimu uliopita, utashangaa MOU msimu huu akaja na mbinu tofauti na kutupa shida uko mbeleSpurs nimwepesi sana sema Man City pumzi zimekata ndo maana spurs alijichukulia ujiko,lakini siyo kwamba spurs anampira wakutisha.