Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Wachezaji watakuwa walichoka sana sababu ya mechi za kimataifa mkuu.Timu imecheza vizuri, bahati haikuwa yetu tungeondoka na 5 au 6 bila
Sorry nmkosea nlkuw nmjbu mdau apo juuKwann umeni quote mimi?
Hatujacheki mechi, sina muda wa kupoteza kuangalia futuhi.Wakuu hasa wale wanaomponda Lampard naomba waseme leo kazingua wapi. Waje hapa tujadili ikiwezekana watoe sifa wanapoona anastahili siyo tu kuponda daily
Kutokuwa mchoyo huenda ndio kumekosesha magoal kama mawili leo.Sema tumekosa nafasi nyingi sana. Timo japo kajitahidi sana ila pia amekosa chances nyingi tungewezakuondoka na magoli mengi zaidi. Tuna improve mno
Ha ha haaa mngekua juu kama ndivyo kubali tu ndo mna anza kuunganikaKa
Kawaida yetu
Kwan tupo chini?Kutokuwa mchoyo huenda ndio kumekosesha magoal kama mawili leo.
Hatujacheki mechi, sina muda wa kupoteza kuangalia futuhi.
Pass yenyewe aliyotoa haikua na nguvu kumfikia Tammy.Kuna watu wana moyo wa kipekee yaani Warner sio mchoyo hata kidogo. Sehemu nyingine unaona kabisa ana uwezo wa kufunga lakini anataka atoe pasi.
Anahitaji aongeze umakini zaidi siyo kila sehemu lazima atoe passKutokuwa mchoyo huenda ndio kumekosesha magoal kama mawili leo.
Captain A mzuri ila sasa nae kashakuwa kama gari la mkaa.Gari limewaka sasa akirudi CP shughuli ndio itakua balaa zaidi.
Sometimes uchoyo unahitajika sehem ukiwa na uwez wa kupiga bora ujaribuKuna watu wana moyo wa kipekee yaani Warner sio mchoyo hata kidogo. Sehemu nyingine unaona kabisa ana uwezo wa kufunga lakini anataka atoe pasi.
Unamaana gani?Captain A mzuri ila sasa nae kashakuwa kama gari la mkaa.
Majeraha mara kwa mara.Unamaana gani?