1 Gabriel = 58 thiago ,32 zouma, 48 rudiger 53 chriestsen
1 thomas = na takataka zote zinazocheza kiungo hapo chelsea + £658b
Mmeanza porojo zenuTammy wa hovyo kabisa, lampard anampanga kwa kuwa ni muingereza mwenzie, kwa kocha anaejielewa giroud ndio angekua chaguo la kwanza, lampard bado sio kocha wa kutupa mafanikio yoyote. Shifield hata Arsenal vibonde wanaweza kuwafunga vile vile.
Ziyech = Hazard + Fabregas
Hata kama ni sasa hivi, sisi kama the blues hao jamaa hatuwezi kuwasema vibaya. Tunawaheshimu kama malegend wetu.
Usijali bibi yako ataoshaWe takataka kaoshe vyombo huko
MihemkoZiyech = Hazard + Fabregas
Shida mafanikio yakishatokea huwa mnapoteaTammy wa hovyo kabisa, lampard anampanga kwa kuwa ni muingereza mwenzie, kwa kocha anaejielewa giroud ndio angekua chaguo la kwanza, lampard bado sio kocha wa kutupa mafanikio yoyote. Shifield hata Arsenal vibonde wanaweza kuwafunga vile vile.
Achana na watu wenye akili ndogo mkuu, kinachofanyika leo watakielewa angalau baada ya miaka 2Mmeanza porojo zenu
Kwa nini asimpange Odoi
Kwa nini asimpange Drinkwater
Kwa nini asimpange Tomori
Kwa nini asimpange Barkley mpaka akaenda mkopo Aston Villa na kule anakiwasha?
Huu upuuzi wa kumsema kocha anawapendelea Waingereza bado iko tu midomoni mwa mashabiki wasio waelewa na wastaarabu, RUBBISH kabisa
Timu ikiwa haina majeruhi kabisa waingereza wanaopata namba pale ni wachache sana, wengi wao ni kutoka nje ya waingereza, Sasa mtu kama Pulisic yuko majeruhi Abrahama anapewa nafasi mnaanza kusema au ninyi ni Team Giroud
Kocha anampa muda mwingi Abrahama kwa sababu yeye ndie solution ya kudumu ya Hapo mbele tofauti na Giroud ambaye carrier yake ya mpira ndio inaelekea ukingoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaaJota = Suarez + Gerrard
Hehee.. naona umewataja Burnley na Sheffield lakini umemuacha relegator mmoja alimzabua mtu 7 bila huruma.Habari kwa Wapenda Soccer wote!
Zile mechi zetu za Relegators Burnley na Sheffield zimeshaisha! Sasa tutarudi kufukua hili kaburi baada ya Mataifa kumalizana.
Tuliza ball. Tupo tunaifuatilia timu kwa ukaribu.Yule jamaa wa Bigger Than Life pamoja na LONDON IS BLUE ambao wanaongoza kampeni ya kutomtaka Lampard darajani sasa ivi wamepotea baada ya timu kuanza kufanya vizuri. Siku tukiboronga kidogo wanakuja hapa kuanza upya kampeni zao.
TOOO PLASTIC.
Ume logout fast na ID yako umelog in na hii nyingine[emoji23][emoji23]Tuliza ball. Tupo tunaifuatilia timu kwa ukaribu.
Hahahaha wacha kunifuatilia.Ume logout fast na ID yako umelog in na hii nyingine[emoji23][emoji23]
Kabla ya leo mara ya mwisho umekua online Nov 04. Mi nakuona wewe hujiamini njoo na ID yako halisi tujadili kwa hoja.
Nami nilitaka kujibu kuwa hao ni mashabiki wanaojulikana na ni Pro FL mchana usiku Anti FL.Ume logout fast na ID yako umelog in na hii nyingine[emoji23][emoji23]
Kabla ya leo mara ya mwisho umekua online Nov 04. Mi nakuona wewe hujiamini njoo na ID yako halisi tujadili kwa hoja.