Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi nisingependa yule babu Sarri, mfahidhina arudi darajani, kwani makocha wameisha?
 
Southern Highland nakusahihisha sarri alimaliza nafasi ya 3 sio ya 4 Kama ulivyosema.
 
Kikosi kimesimama. Sasa utashangaa lampard leo atakavyopanga kikosi chake!. Wakat hata sisi huku tunamshinda kupanga kikosi. Ndio utajua lampard hamna kitu mule.
 
Ni kwamba fans wa blues Amna access ya mtandao ili mjadili mechi yenu ya UEFA ama mshajichokea na timu yenu ???

Mmeona kikosi Cha super Frankie ??? Rudiger wenu mnampigia kelele hachez haya Leo yumo, ngoja achomeshe akili ziwakae sawa !!! [emoji23][emoji23]
 
Unawashwa na nn c utulie
 
Mtu kala nne huko acha kelele..
#CFC 💙💙
 
Bado una maoni 4-3-3 ni mfumo mbaya
 
Cheltako kacheza na kipalila cha magotini.
Timu haijulikani hata inchi gani inatokea!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…