Pulisic anacheza kushoto nafasi yakeSouthern Highland mbona kipengele Cha Pulisic kutochezeshwa kwenye nafasi umekikwepa kujibu hiv wewe kitu gani Cha tofauti unakiona wengine hatukioni kwa Lampard? Huyu kocha wako anamadudu mengi kiasi ambacho tunaweza kuandika hapa Kama essay
Bigger than life
Aaron Arsenal
Kaanzia bench sasa. Umefurahi?
Amuweke nani, Kova form yake imeshuka tangu fainali ile na Arsenal ndio maana Lampard anamkwepa Jorgonho anacheza vizuri first half tatizo lake anachoka haraka na hapo kocha anachotakiwa ni kufanya sub ya haraka tuNdio maana tunasema Lampard anaua vipaji. Kova mchezaji bora wa Chelsea msimu ulioisha, anampanga Jognho mzito, mzee wa kucheza rafu, mzee wa kipanik fasta na kuondoka mchezoni
Pulisic si ndio huyo anacheza badala ya Odoi au Ziyech kuanza. Ndio maana anacheza kulia nafasi ambayo hata Dortmund alikua anacheza ila anapofit zaidi ni kushotoSouthern Highland mbona kipengele Cha Pulisic kutochezeshwa kwenye nafasi umekikwepa kujibu hiv wewe kitu gani Cha tofauti unakiona wengine hatukioni kwa Lampard? Huyu kocha wako anamadudu mengi kiasi ambacho tunaweza kuandika hapa Kama essay
Bigger than life
Aaron Arsenal
Mfumo ni 4-2-4-1Kikosi kinachoanza
Siyo huo mfumo ndugu. Hiyo ni 4-2-3-1Lampard amesikia kilio changu 343 ila angempanga Kovacic ondoa Joginho
Wewe una wenge mno. Njoo na ID yako halisiPulisic kulia? Lamps hayuko serious
Pulisic Werner Odoi
Harvetz benchi hakuna kitu leo bissaka atamuua.
Hii ID mpya chenga tu haijui chochote inaropoka ropoka tu.Line up mimi niliyonayo ni hii ya 3-4-2-1 hiyo ya Pulisic kuwekwa kulia imetoka wapi
WernerSub
Pulisic -----------------------------------------------Havertz
Chillwell --------- Kante --------- Jorginho ------ James
Zouma ------------------------Silva ----------------------Azpi
Mendy
- Caballero
Rudiger Kovacic Mount Ziyech Giroud Tammy Abraham
Kaokoa vizuri sana ππππ mendy kama mendy
Jamaa yuko vzr sana, pale angekuwa n yule ndugu yetu mwingine tungejua hatujuiKaokoa vizuri sana π
Yule ndugu tungeondoka halftime kwa 2-0 au zaidiJamaa yuko vzr sana, pale angekuwa n yule ndugu yetu mwingine tungejua hatujui
hii formation umeitoa wapi?Siyo huo mfumo ndugu. Hiyo ni 4-2-3-1