Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nawashangaa mnaposema hana 1st eleven na wakati karibia wachezaji wa muhimu wametoka hospital ulikua unafikiria angempanga nani hapo? Anapanga timu kulingana na wachezaji alionao na kwa jinsi alivyopanga jana sikuona shida yoyote. Pia kuhusu kupendelea waingereza sijui umefanya research gani kwa sababu Reece, Tammy walianzia bench, Mount alicheza akatoka kama angekua na upendeleo basi hao wote wangeanza 1st 11.
 
Kwa nini Lampard asimchezeshe Azpi kwenye RCB wa kulia na Reece achukue nafasi yake ya RB?. It is high time to getrid of Christensen kabisa aonekane tu Karabao CUp na FA mechi za mwanzoni
Huyu Reece James anapandisha mashambulizi na kumimina krosi/virumbirumbi vizuri sana, ila sasa ni mzito kushuka kuja kucover space timu ikishambuliwa,
 
Tena anayejua kiingereza maana naona Silva akifoka kwa Kifaransa hawamuelewi
Nilisikia tetesi za yule beki wa BHA ambaye Timo alisema ni mbavu sana. Anaitwa Lewis Dunk jamaa liko vizuri sana sema sikumfuatilia aliishia wapi
 
Hapo kwenyr usajili nakupinga
Kwa wachezaj tuliowasajil tungesem tusubir msim ujao tusingewapat kabla ya covid asilimia kubwa kai alikuwa anaenda real or bayern ,werner liverpool
Hii ilikuwa chance na lazima uitumie ipasavyo kutokana na tim nying kuyumba

Msim huu madrid ajasajil usitegemee msim ujao tungekuwa na uwezo ws kushindana nao kweny usajil wa kai
 
Kweli kabisa
 
Mkuu makocha huwa tunawapa lawama lakini kiuhalisia hawastahili kwa kiasi ambacho sisi tunalaumu. Kila kocha anamfumo wake wa uchezaji vile anataka wachezaji wake wawe. So kazi yake ni kuwapa alichonacho wachezaji wakifuate na ndio maana kuna makocha wana wachezaji wao wanawapenda kwa sababu wanaona kabisa kupitia hao wanaweza kusaidia na wengine mchezaji anakua kama engine ya timu mfano muangalie Jorginho wa Sarri then muangalie huyu Jorginho wa Lampard, Sasa katika situation hiyo unamuona Lampard kama haeleweki ila anachojaribu kuwasaidia waweze kuuelewa mfumo wa uchezaji wake then hapo hapo wakati bado hajamaliza sisi mashabiki tunaanza kum pressure kwa kutaka ahamie plan B na wakati plan A bado haija tick.

Lampard hajapata tu muda wa kutosha na anafanya kazi kwa pressure sana.
 
Nakubaliana na wewe bro
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…