Twendeni msibani jamani kule manyumbu yanaliwa 3-1
Matial katolewa nje kijinga sana dakika ya 29 sasa manyumbu yanacheza 10 uwanjani mwao
Nakadiria leo watafungwa 9-1
Msimu wa burudani kwa Chelsea 2020/2021Chelsea tupo on [emoji91][emoji91] na next match pulisic na Ziyech wanarudi nawaonea huruma Sana wapinzani wetu
Leo ni mwendo wa dose inabidi heshima ifuate mkondo wake na naamini kelele zitapungua humu kwa maana wao wanakazi ya kukesha humuJamani leo kuna misiba mikubwa mikubwa, Villa Park nako sio salama, Jogoo anachinjwa
Bado goli 1 tufunge mahesabu
Nishasema huu msimu ni burdani kwa chelsea.Jamani leo kuna misiba mikubwa mikubwa, Villa Park nako sio salama, Jogoo anachinjwa
πππππππhii imekaa kibabe sanaAstonVilla 7-8 LiverPool
[emoji460][emoji460]salah
[emoji460]zuchu 93'
[emoji460]amber Rutty 99'
[emoji460]Nabii Titto 102'
[emoji460]Mama Anna Makinda 107'
[emoji460] Tundu Lissu 117'
[emoji460] Paulo Bashite 120'
#comeback ya kibabe
Kwahiyo unataka kusema wiki ya kwnza ya Epl Leeds alitakiwe acheze na timu mbili.Pia naomba nikumbushe kipolo Cha man u ni chakucheza na Leeds united