Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii game haikupaswa kufika kwenye pk
Tulishindwa kuimaliza game katika wakati spurs washakubal kufungwa

Ila huyu mendy tumepata kipa hapa mech yake ya 1 kafanya save za muhim kwa kepa pale tulikuwa tunahesab magoal
Mtu kila penat ikipigwa anageuka tu, aaaaahh kuweni serious, hapo mmepigwa
 
Werner Injured prone player pulisic Injured prone player ziyech injured prone player [emoji23][emoji23]
 
And he is still conceding more and more[emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23]
Poor mendy
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…