Sasa ushauri wako unadhani nani anauskia huko london, upo bize unajiongelesha tu mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakuu hivi kwa kiwango cha sasa cha Kante mnahisi anaweza aka maintain kwa misimu mingapi mbele? Naona kadri anavyozidi kwenda kiwango kinazidi kushuka tu. Kwa nini Marina asimuuze then tuka raise funds kwa ajili ya Declan Rice.
Kante huyu wa sasa siyo yule wa msimu wa 15/16-17/18 wapo PSG, Inter wanahitaji sana huduma yake. Sisi tunaenda kuchukua damu yetu ya blue halisi kabisa Declan Rice katika ubora wake.
Wote ni ndugu zangu, leo mpo ground.... Londoneeeé..
Bro wenu nipo nawacheki hapa
Sasa mumepangiwa kikosi cha kalabao mnaanza keleleNilijua leo utakuja. Angalia husije aibika[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ndugu wewe unaumia nini? [emoji23][emoji23] Unadhani kwa kufanya ivyo itakupunguzia maumivu ya jana?Sasa ushauri wako unadhani nani anauskia huko london, upo bize unajiongelesha tu mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ushauri tu mkuu, kwamba maneno yako hawayasikii usipoteze nguvu zako [emoji16][emoji16][emoji16]Sasa ndugu wewe unaumia nini? [emoji23][emoji23] Unadhani kwa kufanya ivyo itakupunguzia maumivu ya jana?
[emoji23][emoji23][emoji23] kijana pata maji ya uvugu vugu naona bado una wenge la janaushauri tu mkuu, kwamba maneno yako hawayasikii usipoteze nguvu zako [emoji16][emoji16][emoji16]
Kadake wewe penatiMendy ni kepa wa kiafrika