OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Ni vizuri mkivuna point 3 lakini kikosi chenu kama kinakosa ile ladha ya mwanzo ya kuona kabisa movement ya goli. Ngoja sisi kikosi kikae njema, mtaelewa tu.Hata msimu ulopita maneno ni hayahaya... mwenzio kila mechi nimevuna points 3. We baki na maneno...
Wakati huo unangoja kikosi kikae vema, wengine hawasimami...wanaendelea ndugu.Ni vizuri mkivuna point 3 lakini kikosi chenu kama kinakosa ile ladha ya mwanzo ya kuona kabisa movement ya goli. Ngoja sisi kikosi kikae njema, mtaelewa tu.
Kama ambavyo wakati ule mnajipanga sisi tunabeba tu makombe yeye Arsenal alikua anaendelea kushangaa shangaa tu kama saivi.Wakati huo unangoja kikosi kikae vema, wengine hawasimami...wanaendelea ndugu.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo mkuu mpaka sasa Arsenal anashangaa shangaa? [emoji23][emoji23]Kama ambavyo wakati ule mnajipanga sisi tunabeba tu makombe yeye Arsenal alikua anaendelea kushangaa shangaa tu kama saivi.
So ngoja na sisi tuendelee kujipanga nyie endeleeni kutembea tutakutana mbele kwa mbele.
Mchukueni Samatta aje acheze namba ya Werner mkuu [emoji1787][emoji1787]Kama ambavyo wakati ule mnajipanga sisi tunabeba tu makombe yeye Arsenal alikua anaendelea kushangaa shangaa tu kama saivi.
So ngoja na sisi tuendelee kujipanga nyie endeleeni kutembea tutakutana mbele kwa mbele.
Mkuu, nakumbuka ulitudanganya humu kwamba Auba mlitaka mumchukue january mkaamua kumuacha,interview ya Auba now imeonesha story zako nyingi humu ni uwongo mtupu.Westham vs Wolves 4-0
Wewe unaamini Auba anasema ukweli, unajua kitu kinaitwa diplomasia, hao wanafundishwa namna ya kusema na media kwenye maswala nyeti kama hayo. Hawaropoki kama tunavyofanya hapa JFMkuu, nakumbuka ulitudanganya humu kwamba Auba mlitaka mumchukue january mkaamua kumuacha,interview ya Auba now imeonesha story zako nyingi humu ni uwongo mtupu.
Sasa kama hawaropoki wewe hiyo story alikwambia senior gani wa Chelsea?Wewe unaamini Auba anasema ukweli, unajua kitu kinaitwa diplomasia, hao wanafundishwa namna ya kusema na media kwenye maswala nyeti kama hayo. Hawaropoki kama tunavyofanya hapa JF
Mkuu, nakumbuka ulitudanganya humu kwamba Auba mlitaka mumchukue january mkaamua kumuacha,interview ya Auba now imeonesha story zako nyingi humu ni uwongo mtupu.
Pierre-Emerick Aubameyang tried to seal shock Chelsea transfer in JanuaryMkuu, nakumbuka ulitudanganya humu kwamba Auba mlitaka mumchukue january mkaamua kumuacha,interview ya Auba now imeonesha story zako nyingi humu ni uwongo mtupu.
Anabeba sinia la kande na vikombe vya kahawa anaona kama kabeba EPL au UEFAKwahiyo mkuu mpaka sasa Arsenal anashangaa shangaa? [emoji23][emoji23]
Chelsea baada ya usajili wao wa hovyōhovyo kama utōlp0. L. LiAnabeba sinia la kande na vikombe vya kahawa anaona kama kabeba EPL au UEFA