nasemakweli
Member
- Nov 29, 2018
- 50
- 74
Everybody in this world has a sweeter, KEPA akinolewa akarekebisha makosa yake na hiyo kazi inaendelea, atauzwa hata Mil 60 na zaidiHakuna wakutoa hata £10m kwa kepa , labda mumtoe mkopo
Same to bakayoko , hamtapata mteja
Labda mtawauzia man uEverybody in this world has a sweeter, KEPA akinolewa akarekebisha makosa yake na hiyo kazi inaendelea, atauzwa hata Mil 60 na zaidi
Mbona sielewi au ni mimi tu
Ngoja tusubiri, ila kwa nini Zouma na Chilwell hawako hata kwenye benchi?
Nadhani kapanga hivyo ili Mount na Havertz wacheze wide kwa uhuru zaidi
Werner na mount wanatokea pembeni leoMbona sielewi au ni mimi tu
May be Lampard is more genius than all of us
Mount na HavertzWerner na mount wanatokea pembeni leo
Mbona kikosi kipo vizuri tu. Hapo sub baadae ni Tammy anaingia Giroud, then Alonso anaingia Cesar, wa mwisho ni Havertz au Mount anaingia Jorginho au Barkley.Mbona sielewi au ni mimi tu
May be Lampard is more genius than all of us
Hiyo ni 4-4-2 blaza. Timo na Tammy wanasimama pamoja. Then nyuma yao kuna attacking mid wawilli na mabeki wana defensive mids wawili. Mfumo kubalancetimu huu lakini unaongeza ushambuliaji zaidi.Kepa kala benchi.
Formation ni 4 5 1.
Striker ni Tammy.
Werner amekua AMF na huku chenga hajui.
Tammy kurudishwa inamaanisha Werner kashindwa kudeliver.
Mnaongozwa moja.Best wishes the blues [emoji838][emoji838][emoji838]
Timo anafungua akaunti ya mabao leo
Mzee kabla mechi haijaanza wanaonyeshwa position kila mtu atakapokaa.Hiyo ni 4-4-2 blaza. Timo na Tammy wanasimama pamoja. Then nyuma yao kuna attacking mid wawilli na mabeki wana defensive mids wawili. Mfumo kubalancetimu huu lakini unaongeza ushambuliaji zaidi.
Sky wanasema ni 4-2-3-1Hiyo ni 4-4-2 blaza. Timo na Tammy wanasimama pamoja. Then nyuma yao kuna attacking mid wawilli na mabeki wana defensive mids wawili. Mfumo kubalancetimu huu lakini unaongeza ushambuliaji zaidi.