Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mechi ni arsenal na Leicester nyie mnacheza na Barnsley pia mnajimwambafai[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magoli yenyewe blunders [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mechi ni arsenal na Leicester nyie mnacheza na Barnsley pia mnajimwambafai[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa huyo Arsenal kafanyaje? Ilo goli la bahati ambalo Leicester wamejifunga?
 
Nitoe tamko kidogo..

Ushindi wetu leo sisi ze blauzi haumaanishi kwamba tayari tumeshakaa sawa, timu bado ni mbovu.

Ukiangalia timu tunayocheza nayo leo ni la ligi daraja la kwanza na inashika nafasi ya 20 kwenye msimamo wa ligi yao. Hivyo hii mechi ni kama mazoezi tu, Karavati ni yule yule, hata ashinde goli 10.. Hawezi kubadilika!
 
Makalio yako hayana adabu
 
Mkuu sasa hapo kwenye mechi 2 za ligi yao wanashika hyo nafac ndo inamaanisha hyo ni nafac yao...? Au nyumbu kushika nafasi ya 16 huko ndo inamaanisha ni nafasi yao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu mbona povu linakutoka[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…