Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kama anairudisha kwa kipa kumbe inaenda pembeni kwa salah yaani ukimuangalia Thiago unaweza ukadhani mpira sio kazi ngumu .

Lakini ukimuangalia Lingard jinsi anavotumia nguvu Ndio utajua kwamba mpira ni kati ya kazi ngumu sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nakumbuka , alikuja Akatoa matusi makubwa kule jukwaan kwetu

Lakini ukasema Tumuache Atajipiga Ban mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lingard si kikundi cha Ma dancer tu wa msondo ngoma.... Lingard, Pogba wao wamesajiliwa kushangilia magoli kwa staili mbalimbali . Kwaio tunasubiri wasajili watu wa kufunga hayo magoli ya kushangiliwa...... Vinginevyo LINGARD, POGBA ni kama na dancer wa Twanga Pepeta ya asha baraka

#COYG
 
Arsenal mwaka huu tutawajua wote hata wale waliohamia Aston Villa na Norwich city, mwaka huu mechi mbili tu wamefufuka. Ngoja vipigo vianze kutembea watarudi kwa Sammata na kujifanya wazalendo wa kweli
Mkuu hata mimi nashangaa sana naona ID nyingi mpya mpaka nashindwa kuelewa hawa ni kutoka wapi sijui.
 
Mkuu, hao jamaa pumbavu sana.
Kazi yao ni kubadili ID tu.
Kuna taka taka inaitwa Pweza sijui imetokea wapi, inazingua kinoma.
GGMU
Arsenal mwaka huu tutawajua wote hata wale waliohamia Aston Villa na Norwich city, mwaka huu mechi mbili tu wamefufuka. Ngoja vipigo vianze kutembea watarudi kwa Sammata na kujifanya wazalendo wa kweli
 
Lin gad kaingiaje hapo?
Mashabiki wa Arsenyeto munazingua kinoma.
GGMU
 
Mkuu rudisha id yako ya zamani tukutambue.
GGMU
 
Niliwahi kusema harvetz ni garasa jipya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…