kweli,ila wanakeraKikubwa haya makelele yao hayapunguzi point zetu
wewe sasa ndio shabiki real wa chelngongingo maana hupindishihii timu yangu ya chelsea nilivyoona wanasajili nikajua kuwa tutakuja kuwashika sana ila kwa nilichokiona jana itabidi tuandae marundo ya diclopa na panadol kila mechi,kwanza ukiona mchezaji wa kijerumani Bayern Munchen hawamtaki na wala hawana shobo nae inabidi ujifikirie kwa makini kabla ya kumnunua,nina imani na ziyech ila hawa wajerumani wawili tumepigwa kweupeeeeeeeeeeeeeee maana hata huyu werner klopp alimtaka ili awe backup ya filmino na sio chaguo la kwanza kwasababu aliona kuwa hana sifa ya kuanza katika kikosi chochote cha epl ila sis tunampanga aanze,kocha wetu nae ndio haeleweki kabisa
ukikereka unaenda google unachek head to head vs Arsenal, ukimaliza unagoogle tena head to head vs Liverpool ukimaliza unagoogle tena head to head vs Man utd ukimaliza unagoogle tena head to head vs shelffied hahahahahakweli,ila wanakera
Bruno anachezea club kubwa, kwa maana iyo Joginho ataonekana kaiga tu, factView attachment 1570489
View attachment 1570490
View attachment 1570491
Washabiki bana, si waende Youtube wakaangalie nani kamuiga mwenzake, Bruno wa juzi tu ndio kaigwa au hawa mashabiki ni wa 2020 nini
Sikubaliani na ww ....huyu Werner alikuwa anahusishwa na Bayern ila mchezaji mwenyewe aliwahi kuhojiwa akasema hawezi kuichezea Bayern kutokana na rivalry dhidi ya Bayern....kumbuka Marco reus naye aliwahi kuhusishwa na Bayern na akaigomea Dortmund ni bora wamuuze timu nyingine lkn sio Bayern Munich...yaan KWA takwimu zake misimu 3 ana hit double figures za magoli afu Bayern wasimtake kweli?....kuhusu kai havertz mbona Bayern nao walikuwa wanamhitaji ila walipofanikisha dili LA sane wakajiondoa na wakabaki Chelsea kwenye dili hilo...na wakawa wanasubiri wamchukue akifika mwsho Wa mkataba wake na Leverkusen KWA kitonga endapo isingetokea timu yoyote iliyomchukua.....na mwsho namalizia pundits km kina Gary Neville pmj na mchambuzi mmoja Wa skysports wanaimani KWA jinsi Werner alivyocheza Jana wanaimani anaweza kuhit double figures za magoli kama alivyokuwa bundesliga na hao wamecheza soka professional level huko sasa wewe upo mtaa Wa kachamba nani hapo newala mtwara hata kukimbia kipengele unasema Werner ni batshuayi mweupe...!!!?...na pulisic alivyoanza ligi KWA kusuasua msimu uliopita cpati picha ulikuwa unamwitajehii timu yangu ya chelsea nilivyoona wanasajili nikajua kuwa tutakuja kuwashika sana ila kwa nilichokiona jana itabidi tuandae marundo ya diclopa na panadol kila mechi,kwanza ukiona mchezaji wa kijerumani Bayern Munchen hawamtaki na wala hawana shobo nae inabidi ujifikirie kwa makini kabla ya kumnunua,nina imani na ziyech ila hawa wajerumani wawili tumepigwa kweupeeeeeeeeeeeeeee maana hata huyu werner klopp alimtaka ili awe backup ya filmino na sio chaguo la kwanza kwasababu aliona kuwa hana sifa ya kuanza katika kikosi chochote cha epl ila sis tunampanga aanze,kocha wetu nae ndio haeleweki kabisa
We taahira, kichwa box acha shobo utapelekwa GESTI.
UNITED signed Bruno on 30th JanuaryWe jamaa ni Bomu la mbagala. Utamjudge vipi mchezaji kwa mechi ya kwanza? Tena amechezeshwa nafasi sio yake?
Wachezaji hawako fit wamekosa pre- season, wanaendelea kupata momentum ya kurudi kwenye utimamu wao na kuzoeana uwanjani (wenyeji na wageni).
Sawa najua muda mwingine akili yako inacheza kama kifaa cha voltmeter embu muda mwingine ijaribu kuituliza kidogo ureason mambo.
wewe cheltako tulia unyolewe sisi ndio tunaong'arisha jiji sio nyinyi takatakaArse8 wana shobokweli kenye Uzi wetu sijui ndo tayari kama wanawashwa washwa ivi
Huyo kai mnaweza mkawa mmepigwa mchana peupe. Nimemuona akicheza, kama akiendelea vile, bakayoko part 2.We jamaa ni Bomu la mbagala. Utamjudge vipi mchezaji kwa mechi ya kwanza? Tena amechezeshwa nafasi sio yake?
Wachezaji hawako fit wamekosa pre- season, wanaendelea kupata momentum ya kurudi kwenye utimamu wao na kuzoeana uwanjani (wenyeji na wageni).
Sawa najua muda mwingine akili yako inacheza kama kifaa cha voltmeter embu muda mwingine ijaribu kuituliza kidogo ureason mambo.
ukweli mchungu kwa NgongingoHuyo kai mnaweza mkawa mmepigwa mchana peupe. Nimemuona akicheza, kama akiendelea vile, bakayoko part 2.
Huyo jamaa waga ana mihemuko sana,akili yake huwa haifanyi kazi sawa sawa.Acha hizo wewe , subiri kama.msimu huu watapata hata point 1
Unaongelea msimu ulioisha chini ya unai,
Mech ya pili tukawa na majeruhi ,tena after Corona
Hiyo ilikuwa Corona's aftermath vijana walikuwa vibaya,hata Man city alitufunga lakini semi final tukamnywa km bia.Wewe mmepigwa na BHA Arteta akiwa kocha na vipuli vyake masikioni.