Majibu ya Klopp, Niliboreka niliposikia anasema hivyo. Maoni yake ya kushangaza, Yeye miaka minne na nusu katumia pesa nyingi leo Chelsea ikitokea kwenye ban ikitumia pesa kuimarisha timu anaita timu inaongozwa na tajiri mmoja kutoka nje, hapo akimponda Roman Abramovich
Hivi wakati wao wanatumia hao matajiri wa Kimarekani hawana say?
Hiyo ni mikojo tu hakuna kipa hapoBaada ya mchezo wa leo atatambulishwa rasmi
Sisi BRIGHTON LEO Kauli mbiu yetu
*LAMPARD HAFIKI DECEMBER*
Cheltyako siô wa kutegemea, ngoja niende na double chance[emoji1787][emoji28]Gay gooners kwenye ubora wenu.
Yalipigwa kumbe😄😄😄😄
Martinez ameona mbali sana. Hivi Arsenal wana mchezaji ambaye wanaeza kumuuza hata kwa pound million 40?Emiliano Martinez ajiunga na Aston Villa kutokea Arsenal. Nilijua tu GK mzuri kama Martinez asingekubali kuwa sub
Hizi jezi za away tamu sana
Wapiga ramli mshafika. Badala mtushabikie sisi kaka zenu tuwalipie kisasi leo baada ya kuwabomoa msimu uliopita mnashabikia upande mbovu. Blue is the color [emoji838][emoji838][emoji838][emoji23]Nipo na wanangu Brighton majeshi!
Trossad usicheke na hawa kima leo!
#Let'sGoBrighton[emoji123]
Sisi BRIGHTON LEO Kauli mbiu yetu
*LAMPARD HAFIKI DECEMBER*
Yaani sisi tunawataka wakubwa, level zetu Bayern na Madrid nowdays,Nyie Cheltyako Brighton,leeds, westham and the likes mnakufa Goli kuanzia 3+...This is Arsenal london.Wapiga ramli mshafika. Badala mtushabikie sisi kaka zenu tuwalipie kisasi leo baada ya kuwabomoa msimu uliopita mnashabikia upande mbovu. Blue is the color [emoji838][emoji838][emoji838][emoji23]
Nyie oneni vituko hivi Arsenal kujifananisha na Bayern na Barca[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani sisi tunawataka wakubwa, level zetu Bayern na Madrid nowdays,Nyie Cheltyako Brighton,leeds, westham and the likes mnakufa Goli kuanzia 3+...This is Arsenal london.
#Coyg
Mpigwe tu hakuna namnaWapiga ramli mshafika. Badala mtushabikie sisi kaka zenu tuwalipie kisasi leo baada ya kuwabomoa msimu uliopita mnashabikia upande mbovu. Blue is the color [emoji838][emoji838][emoji838][emoji23]
Lampard kama cjamuelewaLineup
Mount ---- Werner ---+ Havertz
Kante ---- Jorginho ---- RLC
Alonso ----Zouma --- Christensen ---- James
Kepa
Sub
Rudiger
Azpi
Odoi
Tammy
Giroud
Cabalero
Barkley
Azplicueta kuwa bench