Unapata wapi ujasiri wa kusema mfungaji wenu bora wa msimu uloisha hafaiAisee Hii habari isiwe ya kweli tunamuhitaji sana Giroud kusadiana Werner kutupia magoli. Abraham hafai kabisa kuwa sub kwa sasa he just waste time and chances.
Mi sio mjuzi sana ila KWA hawa wachezaji tuliokuwa nao naona mifumo ya 433, 4-2-3-1, 3-4-3, na 3-5-2 ..nionavyo MimiKwahiyo kwa wachezaji tulionao kwa sasa ni mfumo gani unatupasa kuutumia msimu ujao bila shaka yoyote?
Naona lamps atabadilika kulingana n baadhi ya game....ila nahic ambao utakua unatumika sana ni 4-3-3Hatuwezi kuwa na mfumo wetu mmoja official usiobadilika? Mfano kama liverpool na mfumo wao 4-3-3.
Mi ningependa timo Werner atokee kushoto (tusimrush pulisic labda aingie kutokea sub) kati asimame giroud....
🙁Ni bora Werner akae bechi mara 100 kuliko Pulisic akose 1st eleven. Pulisic ni silaha kali tuliyonayo kwa sasa kuliko Werner, ziyech, harvetz ambao hawajaprove chochote Chelsea.
VP huyu Mendy kwa kiwango chake unavyomuona atakuja kuanza 1st eleven au kumchallenge kepa?
Wanasema yupo vzuri sana kwenye set pieces...moja ya matatizo yaliyoisumbua safu ya ulinzi msimu uliopita.....aisee msimu uliopita kuna wakati ikiwekwa kona au faulo mapigo ya moyo yanaenda kasi sanaNikimuangalia youtube namuona ni kipa wa kawaida sana. Pengine kuna kitu board imeona kwake ambacho sisi tulio Matombo na Tanangozi hatuwezi kukiona.
Welcome Mendy To The Pride Of London[emoji838][emoji838][emoji838] View attachment 1566604View attachment 1566605View attachment 1566606
Safari hii Chelsea hawatanii, ni zamu ya wachezaji sasa kulipa fadhila ya usajili kwa kucheza vizuri na kubeba silverware
Nasikia kocha wa makipa wakati wa Sarri alikuwa mzuri ila Lampard hana kocha mzuri maana Kepa bado mtoto bila kusimamiwa hawezi kucheza. Labda Mendy atabadilisha hali ya hewaWanasema yupo vzuri sana kwenye set pieces...moja ya matatizo yaliyoisumbua safu ya ulinzi msimu uliopita.....aisee msimu uliopita kuna wakati ikiwekwa kona au faulo mapigo ya moyo yanaenda kasi sana
Kuna shabiki moja wa Chelsea alisema kwenye Twitter moja, KEPA ni mzuri kuliko Mendy kwenye YouTube. Yaani Mendy na Kepa wakipambanishwa kwenye YouTube Kepa anadaka vizuri. Fumbo, maana yake YouTube sio sehemu nzuri ya kumhukumu mchezaji kwamba anacheza vizuri au la. Natumaini Scouting team wao walimuona LIVE kuwa anatufaa kwenye tatizo la SET PIECESNikimuangalia youtube namuona ni kipa wa kawaida sana. Pengine kuna kitu board imeona kwake ambacho sisi tulio Matombo na Tanangozi hatuwezi kukiona.
Welcome Mendy To The Pride Of London[emoji838][emoji838][emoji838] View attachment 1566604View attachment 1566605View attachment 1566606
Haahaaa Mi naimagine tu Msimu uliopita ulikuwa na hali gani timu imeondokewa na hazard, imepigwa ban, luiz alisepa ....wenzetu walisajili kina comrade kipepe na magwaya ila sisi...tukaamua kuchukua watoto Wa championshipI just imagine how this window would be boring without Chelsea transfer activities
Ndio maana nikasema kuna kitu board imekiona kwake kuliko tukionacho sisi wa Youtube.Kuna shabiki moja wa Chelsea alisema kwenye Twitter moja, KEPA ni mzuri kuliko Mendy kwenye YouTube. Yaani Mendy na Kepa wakipambanishwa kwenye YouTube Kepa anadaka vizuri. Fumbo, maana yake YouTube sio sehemu nzuri ya kumhukumu mchezaji kwamba anacheza vizuri au la. Natumaini Scouting team wao walimuona LIVE kuwa anatufaa kwenye tatizo la SET PIECES