Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Wewe umeenda umekula 7[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka wa ngapi hii kale ka mziki ka champions league mnakasikia kwa jirani?endeleeni kupambana na wolves,Sheffield, everton na Leicester awacheki na kima wanakukabia chini chini huko
Inamaana umesahau ulivyokula 10-0 UEFA.....ama kweli binadamu wepesi sana kusahauWewe umeenda umekula 7[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arteta ana miez 6 tu, Ndio ana preseason ya kwanza hapa
Kwa hiyo unacompare?The future is bright ahead of him. Wana blues wenzangu tuendelee kupiga mtori nyama bado chini.
Kai Havertz [emoji838][emoji838][emoji838][emoji838]View attachment 1555278
Maneno iachie khanga, hapa ni picha tu[emoji1787][emoji1787]Mwaka wa ngapi hii kale ka mziki ka champions league mnakasikia kwa jirani?endeleeni kupambana na wolves,Sheffield, everton na Leicester awacheki na kima wanakukabia chini chini huko
Kuna dhambi kufanya comparison?Kwa hiyo unacompare?
Dah, hii dunia ina vituko sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujishtukii kama wewe ndio unaweza kuwa kituko?Kwa hiyo unacompare?
Dah, hii dunia ina vituko sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Arsenyeto kama ArsenyetoCheltako kama Cheltako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi nimeelewa,ndio maana mnajicompare na Gunners wakati Trophy cabinet hapo Ze blauzi imejaa mende [emoji1787][emoji1787]Hujishtukii kama wewe ndio unaweza kuwa kituko?
We Arsenyeto kweli!! Yan mimi nijifanyie comparison na nyie? [emoji23][emoji23][emoji23] Hivi huoni hata aibu kusema ivyo mbele ya wanaume?Basi nimeelewa,ndio maana mnajicompare na Gunners wakati Trophy cabinet hapo Ze blauzi imejaa mende [emoji1787][emoji1787]View attachment 1555742
Unashabikiaje timu iliyoanzishwa na Mou 2005 na uzee wako huo?We Arsrnyeto kweli!! Yan mimi nijifanyie comparison na nyie? [emoji23][emoji23][emoji23] Hivi huoni hata aibu kusema ivyo mbele ya wanaume?
Mirembe inakuhitaji wewe. Si bure asee
Icho kibao cha jamii .... Akiwezi mshitua luiz maana kabeba vikombe vizito vizito ambavyo team yako inaviona kwenye mitandaoManeno iachie khanga, hapa ni picha tu[emoji1787][emoji1787]View attachment 1555726
Wajumbe hawajakukata huko kwny udiwani kada?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Icho kibao cha jamii .... muulize huyo mwamba kabeba epl,Europa na team ipi ..
We ulisikia wapi?Inamaana umesahau ulivyokula 10-0 UEFA.....ama kweli binadamu wepesi sana kusahau
Niko vizuri sana mkuu tuonane bungeni unaweza Ku DM nikupe mualiko wa bungeniWajumbe hawajakukata huko kwny udiwani kada?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
zinduka usingizini weweWe Arsrnyeto kweli!! Yan mimi nijifanyie comparison na nyie? [emoji23][emoji23][emoji23] Hivi huoni hata aibu kusema ivyo mbele ya wanaume?
Mirembe inakuhitaji wewe. Si bure asee