John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Mtaendelea kusikia tu tetesi mpk dirisha linafungwa ...wachezaji wenu wa next week mbona hatuwasikiihii timu haina tofauti na utopolo,mpaka sasa washasajili wachezaji kumi na bado kuna kibabu nasikia kinatoka farmers league kinakuja kufata pesa zake za kustaafu
Silva na Sar ni free agent, huitaji timu mbili hapoKai,silva na sarr hao wote deal zishakamalika ila bado hazijawa confirmed so ukisema sita tayari naona sio sawa
Mchezaj anakuwa halali tu pale team mbili zinapoconfirm deal lake
Ulitaka tukusajili wewe atampira ujawahi chezahii timu haina tofauti na utopolo,mpaka sasa washasajili wachezaji kumi na bado kuna kibabu nasikia kinatoka farmers league kinakuja kufata pesa zake za kustaafu
Huyo takataka Chilwell bado ni majeruhi hivyo michezo ya mwanzo ataikosa kama Pulisic.
Viungo vya fahamu vyote vinakuwasha unatamani usiingize timu uwanjani maana ushaanza kuhisi dhahama inakuja.hii timu haina tofauti na utopolo,mpaka sasa washasajili wachezaji kumi na bado kuna kibabu nasikia kinatoka farmers league kinakuja kufata pesa zake za kustaafu
Hapana nakupa big NO. Bora ya Giroud wetu, Suarez muache arudi AjaxWadau kwanini tusimsajili SUAREZ? ameshafunguliwa milango ya kuondoka Barcelona.
Tukauza Batshuayi + Giroud tukamleta Suarez.
Kaka mbona unaonekana una stress sana,jitahidi unywe maji mengi.hii timu haina tofauti na utopolo,mpaka sasa washasajili wachezaji kumi na bado kuna kibabu nasikia kinatoka farmers league kinakuja kufata pesa zake za kustaafu
Nani Arsenal?Viungo vya fahamu vyote vinakuwasha unatamani usiingize timu uwanjani maana ushaanza kuhisi dhahama inakuja.
Jamani waoneeni huruma Arsenal
Yeah but stil hawajawa confirmedSilva na Sar ni free agent, huitaji timu mbili hapo
kwanza Silva hatoki Spain anatok Ligue 1,, pili wameshindwa kumfanya uchochoro kwenye UEFA wataweza hao watoto mchele mchele. Naona ushaanza kujiandaa ki saikolojiaNani Arsenal?
Nasikia kuna kibabu kinatoka Spain mnakisajili,yule Silva kina zaha watamfanya uchochoro
Ifike wakati sasa wageni wakija waanze kwaa kujitambulisha kama ifuatavyoNani Arsenal?
Nasikia kuna kibabu kinatoka Spain mnakisajili,yule Silva kina zaha watamfanya uchochoro
Hajui mpira huyokwanza Silva hatoki Spain anatok Ligue 1,, pili wameshindwa kumfanya uchochoro kwenye UEFA wataweza hao watoto mchele mchele. Naona ushaanza kujiandaa ki saikolojia
ao mechi za mwanzo hawatacheza week mbilTuwaombee wachezaji wetu, 8 wako quarantine na ligi ndio hiyo inaanza
Hao wachezaji 8 Ni wakina Nani ebu nijuze?ao mechi za mwanzo hawatacheza week mbil
Match fitness watakosa
pulisicHao wachezaji 8 Ni wakina Nani ebu nijuze?
Jorginho, Barkley, Emerson, Batshuayi, Mount, Tomori, Abraham and Pulisic are all in coronavirus quarantine.Hao wachezaji 8 Ni wakina Nani ebu nijuze?