Mmebaki na uwezo wa kupiga domo vijiweni tu. Mnajua kabisa hapo tim u haipo, Arteta kaja kusaidia timu sasa iko on and offNa Lampard huyohuyo ametupa kombe, unapata wapi ujasiri wa kutype hili shudu? View attachment 1543484
Sisi tusgawazoea ikifika October mwishoni wakati imeanza kuchanganya hapo kina BHA wanajipigia tu wanavyotaka huwa mnakimbia anabaki mmoja na mwingine mmoja mmoja anajitokeza siku mkifufuka.Na Lampard huyohuyo ametupa kombe, unapata wapi ujasiri wa kutype hili shudu? View attachment 1543484
Uzuri wake ukweli unaijua kuwaSisi tusgawazoea ikifika October mwishoni wakati imeanza kuchanganya hapo kina BHA wanajipigia tu wanavyotaka huwa mnakimbia anabaki mmoja na mwingine mmoja mmoja anajitokeza siku mkifufuka.
Sisi tupo hapa kwa ajili muende mrudi mtatukuta.
Kisheria sisi tulitakiwa tubishane na Manyumbu na sio hao wanaoishi kwa matumaini, hawajui kesho itakuja na lipi. Wakorofi kama wameadhirika. Ndio maana wamejaa huku kwetu kwa sababu kule kwao hawana la kujadili kushusu timu yao marehemuSisi tusgawazoea ikifika October mwishoni wakati imeanza kuchanganya hapo kina BHA wanajipigia tu wanavyotaka huwa mnakimbia anabaki mmoja na mwingine mmoja mmoja anajitokeza siku mkifufuka.
Sisi tupo hapa kwa ajili muende mrudi mtatukuta.
Nyie na waadhirika hamna tofauti, kinachowasogeza mbele ni vidonge tu!Uzuri wake ukweli unaijua kuwaView attachment 1543618
Huoni aibu? Hivi katika msimu huu nani aliyefanikiwa?Kisheria sisi tulitakiwa tubishane na Manyumbu na sio hao wanaoishi kwa matumaini, hawajui kesho itakuja na lipi. Wakorofi kama wameadhirika. Ndio maana wamejaa huku kwetu kwa sababu kule kwao hawana la kujadili kushusu timu yao marehemu
Nyie kikundi cha ngoma tuKisheria sisi tulitakiwa tubishane na Manyumbu na sio hao wanaoishi kwa matumaini, hawajui kesho itakuja na lipi. Wakorofi kama wameadhirika. Ndio maana wamejaa huku kwetu kwa sababu kule kwao hawana la kujadili kushusu timu yao marehemu
Arteta masterclass ,Mmebaki na uwezo wa kupiga domo vijiweni tu. Mnajua kabisa hapo tim u haipo, Arteta kaja kusaidia timu sasa iko on and off
Willian- Auba - Pepe = Ni balaaKisheria sisi tulitakiwa tubishane na Manyumbu na sio hao wanaoishi kwa matumaini, hawajui kesho itakuja na lipi. Wakorofi kama wameadhirika. Ndio maana wamejaa huku kwetu kwa sababu kule kwao hawana la kujadili kushusu timu yao marehemu
[https://pbs]
Fabrizio Romano
@FabrizioRomano
·
2h
Thiago Silva has been offered to Chelsea by his agent days ago. Chelsea are seriously considering him as an option but Thiago wants some days more to decide his next club. He’s focused on the final then he’ll choose. Also Fiorentina and 3 more clubs contacted him.
[https://abs-0]
#CFC #Thiago
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh![emoji23] mnanunua bibi la miaka 35[emoji23][emoji23][emoji23]Chelsea 'in advanced talks to sign PSG captain Thiago Silva on a free transfer'
2 hours ago / autty
Chelsea are reportedly in advanced talks to secure a deal for 35-year-old Paris Saint-Germain captain Thiago Silva as Frank Lampard looks to solve his defensive woes ahead of the new season.
Pale unapouza Mlipili unanunua Onyango, kwa kigezo cha kupunguza wazee klabuni[emoji23][emoji23]
Haaahaaaa Msimu ulioisha tu hamjatufunga kwenye ligi...... Hyo boxing day mjipange ligi ikishachanganya kuna pulisic-werner- ziyech....kwa Yale matahira ya pale nyuma naamini kuna penalty moja ...na goli zingine km 3Willian- Auba - Pepe = Ni balaa
hapo sijamtaja Lacca
Yaani hii timu hata tuchezeshe Saka na Martinelli hamuwezi tufunga[emoji1787][emoji1787]
#Coyg[emoji837]
Nafikiri labda watatambulishwa rasmi wakishika jezi zao official na namba zao.....maana kulikuwa na mchakato wa kuwapa no. Za jezi na nafikiri litafanyika kabla ya game za kirafiki za pre season.........ndo Nionavyo mmKwann mpaka sasa Hakim Ziyech na Timo Werner hawajatambulishwa rasmi.?????