Amechanganyikiwa mkuu, Southern Highland hatuchukui tena mchezaji usije jinyonga[emoji3][emoji3]Wakati wanaubembeleza utumbo kuupa kandarasi ya miaka miwili sijui walikuwa wamelewa. [emoji23][emoji23][emoji1616][emoji2089]
Deal la Chilwel huenda likawa btn 40-50Pulisic - Werner - Ziyech
Kovacic - Kante - Harvetz
Chilwell - Upemecano - Zouma - James
Tunajivuta vuta nini Sasa?
Chilwell - £80M
Upemecano - £54M
Harvetz - £80M
TOTAL = £214
Roman Spend Transfer Budget = £300M
Uza:-
Rudger
Tomori
Emerson
Barkely
Bakayoko
Batshuayi
Drinking water
Moses
Zappacosta
Jognho
Keppa
Caballero
Mmh wapi mahali aliposema "I think this team deserves to win invicible" mbona unakwepesha maana kk haaahaaaa liver, city nao wamebeba lkn kichapo wameonja nyie ndo MNA ndoto za invincible na kina saliba na pepe ...rudia vizuri kauli lkn sio hvyo ulivyosemaWewe ndio hujaelewa,Willian anaona hiyo ni Club kubwa inadeserve kushinda Invincible kila mwaka ila siyo kufananishwa na Utopolo huo.
Vitu vingine usiingilie kati kama hujajua mwanzo. Toka msimu uliopita mimi nimeshikilia kauli yangu yq kwamba Willian sisi alikua hatufai siyo kwakua umekuta comment yangu leo ndio unasema eti kwakua ameenda Arsenal.Willian ni utumbo kwa kuwa kaenda Arsenal?? Ushabiki usikuzidie cheltako
Mkuu uwe unashirikisha bongo yako kufikiri unaaibisha mid table wenzako.Kwa hiyo Chelsea ni bora kwa kuwa hamjapigwa nyingi na Bayern[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa kweli dunia ina vituko mtu anapigwa 7 bado anasema wapige vifua mbele wapo vizuri,mkiambiwa club ndogo mnabisha[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] yan nyie kuchukua kombe la mbeleko mwaka huu ndio mmeanza kuonyesha uhalisia wenu. Eti kutoka kapa kunakera. Hivi miaka ya nyuma uko mmetoka kapa misimu mingapi?Kichwa kina mambo mengi mpaka anashindwa kuelewa vitu vidogovidogo.... Si ahamie hata Leeds kupunguza msongo, kutoka kapa kunakera
Hatuwezi kuwakataza kuchukua wachezaji kwa sababu mnaowachukua ni wale waliokwisha kimawazo na uwezo. Kwa hiyo nawaambia hata Azpilicueta anaelekea mwisho wa mpira wake njooni baada ya msimu ujao mumchukue. Namaanisha mnaoweza kuwachukua ni wale wanaoelekea ukingoni mwa soka lao siyo hawq chipukizi.Amechanganyikiwa mkuu, Southern Highland hatuchukui tena mchezaji usije jinyonga[emoji3][emoji3]
Hao ni mid table teams usitegemee hata uwezo wa kufikiri ukawa sawa na timu za juu. Shida ni ile nafasi waliyomaliza ndio imekomba hado bongo zaoMmh wapi mahali aliposema "I think this team deserves to win invicible" mbona unakwepesha maana kk haaahaaaa liver, city nao wamebeba lkn kichapo wameonja nyie ndo MNA ndoto za invincible na kina saliba na pepe ...rudia vizuri kauli lkn sio hvyo ulivyosema
Mbeleko ipi huna uwezo tu, afu kibaya huna kocha km Manyumbu tu. Yani msimu ujao Gunners hapa Auba, pale Willian, pale Partey kule Pepe haaaahaaa! unakufa nje ndani hatuna cha kupoteza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] yan nyie kuchukua kombe la mbeleko mwaka huu ndio mmeanza kuonyesha uhalisia wenu. Eti kutoka kapa kunakera. Hivi miaka ya nyuma uko mmetoka kapa misimu mingapi?
Aisee masikini akipata matter core hulia mbwatter.
Umeskia huko Arteta mtu mbad kapewa mandate ya usajili anahusika direct[emoji3][emoji3][emoji3], lo lo lo lo loh Lampard arudi Championship tu hana chake huku,tutamdhalilisha next season.Hao ni mid table teams usitegemee hata uwezo wa kufikiri ukawa sawa na timu za juu. Shida ni ile nafasi waliyomaliza ndio imekomba hado bongo zao
Mmeshindwa kumdhalilisha akiwa na 60% wachezaji wa academy mtamdhalilisha akisha sajili?Umeskia huko Arteta mtu mbad kapewa mandate ya usajili anahusika direct[emoji3][emoji3][emoji3], lo lo lo lo loh Lampard arudi Championship tu hana chake huku,tutamdhalilisha next season.
Sasa kai mnayemtaka anatofauti gani na Mount, Hiyo Timu ni ileile unless mlete Mbappe na Neymar[emoji3][emoji3]Mmeshindwa kumdhalilisha akiwa na 60% wachezaji wa academy mtamdhalilisha akisha sajili?
Mzee baba lembu bado naona unajustify ubora wa timu yako kwa kufananisha kipigo alichokipata Barca [emoji3]Tayari mechi ya jana iliingia kwenye rekodi za UEFA kwa timu kufungwa magoli mengi na Bayern walitupa onyo kwa Spurs
Mechi zote ni
- 14/08/2020 - Barcelona 2-8 Bayern,
- 05/11/2003 - Monaco 8-3 Deportivo La Coruña,
- 22/11/2016 - Dortmund 8-4 Legia Warszawa,
- 01/10/2019 - Tottenham 2-7 Bayern,
- 24/10/2000 - Paris Saint-Germain 7-2 Rosenborg,
- 08/03/2005 - Lyon 7-2 Werder Bremen,
- 21/10/2008 - Villarreal 6-3 Aalborg,
Umesikia ujio wa Havertz tu? Halafu Mount unayemdharau kawazidi karibia kila kitu Kipepe na Lacazete.Sasa kai mnayemtaka anatofauti gani na Mount, Hiyo Timu ni ileile unless mlete Mbappe na Neymar[emoji3][emoji3]
Lacazette huyu Pirlo na Juve wanayemuhitaji, au lacca wa ikwinyiko huko kwenu?Umesikia ujio wa Havertz tu? Halafu Mount unayemdharau kawazidi karibia kila kitu Kipepe na Lacazete.
Hahahaaaa.. sijasema ni mchezaji mbaya ielewe statement yangu.Lacazette huyu Pirlo na Juve wanayemuhitaji, au lacca wa ikwinyiko huko kwenu?
Kweli kabisa. Man City haamini kilichomkutaHii sheria ya one leg tie inabidi iendelee tu hadi misim inayofata
hahaha hamna kujiulizaHii sheria ya one leg tie inabidi iendelee tu hadi misim inayofata