Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

ukweli ni kwamba barca ni timu nzuri zaidi kuliko chelsea...hivyo basi inapewa uwezekano mkubwa wa kuifunga chelsea.
 
Kweli mpira una dunda, lakini kale ka-Messi nomaa.

Fainali Barca vs Madrid, na ubingwa unaenda Madrid mwaka huu.
 
swali la mleta mada halina mashiko...

wewe umejibu vyema ila mleta mada ni mshabiki ubwabwa
 
Nadhani hata kauli ya morinho ni ya kufanya baca wabweteke kwani anajua akikutana nao kunyanyua ndoo ni ndoto
 


Naunga mkono hoja kwa kiasi kikubwa sana!!Lakini pia tusisahau jamani historia za hivi karibuni pindi wanapokutana chelsea na UEFAlona,mara zote zimekuwa ni mechi ngumu sana kwa uefalona na mara nyingi wamekuwa wakiitoa chelsea kwa away goal advantage so nadhani tutegemee chochote kutokea ingawa ni ukweli usiopingika kuwa hawa jamaa huwa wanabebwa na uefa sana!!
 
nilishakia huko nyuma kuwa bosi wa marefa wa UEFA ni mnazi mkubwa wa barca na ndo maana marefa wengi huipendelea barca ili kumfurahisha bosi wao naye aendelee kuwapangia mechi nyingi.ni mpaka hapo huyo jamaa atakapoondolewa kwenye hiyo nafasi ndo haki kwa timu nyingine zinazocheza na barca zitaanza kupatikana.

BTW barca ni timu nzuri sana ambayo haihitaji hata msaada wa marefa lkn sielewi kwanini marefa wanaiharibia kwa kuipa upendeleo hata kwenye mechi ambazo hawaihitaji kubebwa.
 
......pamoja na mvua hizi za hapa na pale, vyura, senene na hata majongoo na konokono wamegoma kutoka
mashinoni, mnh!....
Nasubiria 1st leg mtapoifunga Baercelona, ....hehehe...
 
hili gemu lazima ni bet, na mzngo na mpa chelsea,2taftane baada ya gemu wakuu 2kale hyo hela.
 
ukweli ni kwamba barca ni timu nzuri zaidi kuliko chelsea...hivyo basi inapewa uwezekano mkubwa wa kuifunga chelsea.

mpira ni dk 90 na sio maneno waulize benfica na napoli chelsea ni zali zali tu inawezafika mbali..
 
......pamoja na mvua hizi za hapa na pale, vyura, senene na hata majongoo na konokono wamegoma kutoka
mashinoni, mnh!....
Nasubiria 1st leg mtapoifunga Baercelona, ....hehehe...

Hivi mimi na Mentor hutuoni bwana wee?...au ni jeuri zako?

Hapa darajani tunashikilia doria kwa zamu eti...lol!...🙂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…