Kwa Ziyech hapana, mfuatilie vizuri... primarily ni RW, anaweza kucheza kati ila ana excel zaidi pembeni, na ndiko amecheza zaidiZiyech anacheza vizri CAM, hii nafasi CAM kwa sasa wanacheza Mount na Barkley na RLC ambao hawatoshi kwa maoni yangu. Kama tukitaka kujenga wide scope team basi tuwe na wachezaji wengi wenye kutumainiwa kama mwingine hayupo kwa sababu ya majeruhi au kuchoka mwingine aweze kucheza mfano Pulisic sio wa kumtegemea sana kwa sababu anaumia mara kwa mara, Odoi pia, Kante pia nk. Kumbuka ukweli ni kwamba timu haitaweza kunuanua wachezaji wote wazuri wanaotakiwa kwa msimu mmoja, Taarifa za ndani ya Chelsea zinadai kuwa Willian bado ni winga mzuri kwa suluhisho la muda mfupi. Odoi bado anapanda mlima na mpaka afikie kiwango cha kumtumainia Willian hatutakuwa nae tena
Sababu kuu ya Willian abaki anaendana na Lampard ambacho ni kitu cha msingi kwenye kujenga timu. We angalia Conte na Diego costa, pamoja na uzuri wa Costa lakini chemistry ilikataa kama ambavyo Willian chemistry ilikataa kwa Conte na Sarri. Kwa uchezaji wa Willian, Timo atafaidika sana. Mimi naamini bado Willian atatufaa sana kwa mkataba wa miaka miwili wakati tunatumia nguvu kujenga namba zingine zinazopwaya kama GK, LB, CB
Inavyoelekea Lampard atakuwa akitumia zaidi Back five ambayo inaonyesha vipawa viko vingi hasa za Alonso na Reece James wakicheza kama Wing-backs
Kwa formation ya 3-4-3Akina Ziyech, Kai, Mount, RLC, Willian wanaweza kucheza namba nyingi kwa hiyo hiyo niliyotoa ni sample lineup tu
Pulisic/Kai Havertz/Mount - Timo/Giroud/Tammy - Ziyech/Odoi/Willian
Bill Gilmour/Jorginho ----------------------------- - Kovacic/Kante
Alonso/LB mpya -----------------------------------------------------------------------------------James
Zouma/CB mpya ----- Rudiger/Christensen ------- Azpilicueta
GK Mpya/ Cabalerro
Kwa formation ya 4-3-3 (4-1-2-3) CAM wawili na CM mmoja
Pulisic/Mount - Timo/Giroud/Tammy - Odoi/Willian
Kai Havertz/RLC ------------------------------------------------------------------- Ziyech/ Kovacic
Bill Gilmour/Kante/Jorginho/
Alonso/LB mpya ---------- Zouma/CB mpya --------Rudiger/Christensen ------ Azpilicueta /James
GK Mpya/ Cabalerro
Kwa formation ya 4-3-3 (4-2-1-3) CAM mmoja na CM wawili
Pulisic/Kai Havertz - Timo/Giroud/Tammy - Odoi/Willian
Ziyech/Mount
Kante/Jorginho ---------------------------------------------------------- Bill Gilmour/Kovacic
Alonso/LB mpya - Zouma/CB mpya - Rudiger/Christensen - Azpilicueta /James
GK Mpya/ Cabalerro
Kumbuka pia namba muhimu inatakiwa kuwa na wachezaji watatu au kama kuna wa kusiwtch kama nilivyosema, striker kwa mfano ni lazima wawe watatu, mmoja akiumia wa wepo wawili mmoja wa kucheza na mwingine wa sub
inawezkn pia akawahi unajua mshabiki huwa tunataka mchezaji approve mpem kitu ambacho sometimes inkuw opposite na ndo mshabiki wananza kusumbuaKuwafunga spurs (team ya england tena yenye kucheza typical England football) nje ndani ni dalili nzuri kwamba ata adapt mapema
Tupo! Arsenene,mnasemaje wazee wa stress.Chelwowo mpo ndugu zangu
Auba ni habari nyingine aiseeeehhh[emoji91][emoji91][emoji91]hafananishwi[emoji23]Sioni kama ndo kigezo cha kushindwa ...kama ingekuwa ni msimu mmoja sawa ningedoubt lkn misimu mitatu ameonyesha umwamba....hata auba naye alitoka bundesliga
Na ndio maana nikakuuliza ni wapi umeona nasherehekea????Wakati msimu unaanza katika tabiri zenu za top four hamkuiweka Chelsea kwenye nqfasi ya kumaliza hata top 6. Nyie mmefanya usajili sisi hatujafanya usajili pia aliondoka mchezaji muhimu. Mliosajili na mliotabiriwa kumaliza nafasi nzuri ndio kwanza hata EL mmeshindwa kuingia.
Mkuu huoni kama hayo ni mafanikio ambayo sisi tunastahili kupewa pongezi. Najua unajua ila unavunga kwamba ni mambo ya kawaida au labda ushaanza kuzoea kuwa mid table team ndio maana kwako kutofuzu kucheza European Competitions siyo jambo la huzuni.
Kuwa Arsenal fan yataka moyo.
-Ziyech anacheza saa nyingine kama CAMmain position ni RWNikajua Havertz anacheza nyuma ya striker,
Nandio maana formation nyingi 2/3 niliyotoa nimemweka RW, sometimes tactically formation inawabadili position baadhi ya wachezajiKwa Ziyech hapana, mfuatilie vizuri... primarily ni RW, anaweza kucheza kati ila ana excel zaidi pembeni, na ndiko amecheza zaidi
ndicho nilichofanyaZiyech main position ni RW View attachment 1519335View attachment 1519336
Miaka zaidi ya 15 bila kombe bado hadhi ya klabu ni kubwa, mtajidanganya hadi lini, nyie hata mkishuka darala lile la League one kama Sunderland bado mtajiita timu kubwa. Shame on youNa ndio maana nikakuuliza ni wapi umeona nasherehekea????
Sijawahi kusherehekea hata tulipomaliza 2nd position ktk table kwasababu najua hadhi ya klabu ni kubwa, sasa kama mimi nitafanya sherehe kwakuwa tumemaliza top4 alafu LCFC watafanya nini???
Kwanza hiyo ni nafasi ambayo timu imekaa zaidi ya misimu 20 mfululizo,
Juzi Utopolo wa kibongo walikuwa wanasherehekea kumaliza nafasi ya pili katika ligi[emoji23] sasa kuna tofauti gani na nyinyi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongereni kwa kufikia malengo majirani.
Happy birthday, @_Pedro17_! 🥳 pic.twitter.com/RKIM58IsEs
— Chelsea FC (@ChelseaFC) July 28, 2020
Sasa wewe mbona unashangilia nafasi ya 4[emoji23][emoji23][emoji23]Miaka zaidi ya 15 bila kombe bado hadhi ya klabu ni kubwa, mtajidanganya hadi lini, nyie hata mkishuka darala lile la League one kama Sunderland bado mtajiita timu kubwa. Shame on you
Tutashangilia tulikuwa na timu mbovu kuliko ninyi, mlitutabiria chini ya top 6 na wengine mkia na wengine mlithubutu kusema tutashuka daraja. Huoni hapo tuna sababu ya kushangilia ili muone wivu na mmeze wembe au mle pilipili ili kiherehere chenu kipoe?Sasa wewe mbona unashangilia nafasi ya 4[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wewe mwenyewe, sasa usije npa ubaya nisiostahili[emoji23][emoji23][emoji23]Tutashangilia tulikuwa na timu mbovu kuliko ninyi, mlitutabiria chini ya top 6 na wengine mkia na wengine mlithubutu kusema tutashuka daraja. Huoni hapo tuna sababu ya kushangilia ili muone wivu na mmeze wembe au mle pilipili ili kiherehere chenu kipoe?
Ongeza na cantwellHawa wachezaji chini ni baadhi ya wachezaji wazuri wasiotakiwa kuondoka EPL
- Nathan Ake
- Teemu Pukki na
- Joshua King
- Pereirya
- Dan Welbeck
- D Solanke
- C Wilson
Tofautisha kusherehekea na kushangilia. Sisi tunashangilia wewe umetupeleka kwenye kusherehekea.Na ndio maana nikakuuliza ni wapi umeona nasherehekea????
Sijawahi kusherehekea hata tulipomaliza 2nd position ktk table kwasababu najua hadhi ya klabu ni kubwa, sasa kama mimi nitafanya sherehe kwakuwa tumemaliza top4 alafu LCFC watafanya nini???
Kwanza hiyo ni nafasi ambayo timu imekaa zaidi ya misimu 20 mfululizo,
Juzi Utopolo wa kibongo walikuwa wanasherehekea kumaliza nafasi ya pili katika ligi[emoji23] sasa kuna tofauti gani na nyinyi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongereni kwa kufikia malengo majirani.
Malengo yamefikiwa. Nyie hamuwezi shangilia kwa sababu najua halikua lengo la club wa mashabiki.Sasa wewe mbona unashangilia nafasi ya 4[emoji23][emoji23][emoji23]