Jana Kepa alikuwa kama vile kabeti maana magoli mengine hata jitihada za kudaka alikuwa hafanyi. kuna hata nafasi zingine Liverpool walikuwa wazembe zingeingia tungekuwa tumefungwa hata 7Naona kwenye official page Chelsea IG & FB, wanamlaumu sana KEPPA [emoji23][emoji23][emoji23], itakuwa katoa maboko ya kudead person. Nikitulia nitaangalia highlights. Baada ya Mechi kuisha Lampard angempiga Keppa risasi ya kichwa.
Sijui makocha wanaona ni ni kwa Alonso kuwa beki, hafai kabisa. Kuna siku nilishauri kwa nini asifanywe winga tu kwa sababu Alonso kwenye attack ni mzuri ila kwenye kukaba ni uchochoroHizi sajili hazikwepeki hata wakitua Messi na Ronaldo Chelsea.
1. Kipa
2. Beki wa kati mmoja kisiki CB (zouma, Tomori, Christensen wabaki kama sub)
3. Beki wa kushoto LB (Alonso abaki sub)
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] yaani wewe jamaa unazingua sana, yaani soka tulione jana mubashara alafu unataka mtu asikilize commentators[emoji23][emoji23][emoji23] Wallahy huku ni kuchanganyikiwa,Mimi niliangalia yote, Chelsea ilicheza vizuri sana, hata ukifuatilia commentators wa mechi wanakiri jinsi timu mbili zenye kucheza kandanda safi EPL walivyoonyesha burudani nzuri. Mimi nilikuwa nafuatilia Suppersport3. Tofauti yetu ndogo sana na Liverpool ni kwenye defense na Kipa.
Defense walicheza vizuri ila wanajisahaau kwenye open space kwenye final third ya kwetu na Liverpool forward ni wajanja sana walizitumia hizo weaknesses. Pia kuna makosa ya wazi kidogo zilziofanywa na akina Willian nafikiri kwenye goli la kwanza ambayo Nabi Keita aliitum ia kufunga goli. Pia viungo wetu walichoka kipindi cha pili ambapo possesion ilidrop kutoka 62% kipindi cha kwanza hadi 48% before sub ya Odoi, Pulisic na Tammy Abraham ilikuja kufufua umiliki wa mpira hadi ikiafika 50% na kuwafanya Chelsea tena kupeleka mashambulizi ya nguvu mbele iliyozaa magoli mawili ya haraka na kufanya mabao kuwa 4-3 kisha tukajisahau tena na ndipo Chamberlain akaongeza la tano.
Fuatilia comment za pundits na hao watangazaji utaona impression yao kuhusu hiyo burudani ya jana ambayo ilitofautishwa na magoli tu! Huu ndio ukweli. Kwa standard ya mpira wa jana tukikutana na hao maiti wa emirate watakula 7 au 10 kwa mabao machache ya kufuta machozi
Nakuunga mkono kwa asilimia zote mkuu.Jana Kepa alikuwa kama vile kabeti maana magoli mengine hata jitihada za kudaka alikuwa hafanyi. kuna hata nafasi zingine Liverpool walikuwa wazembe zingeingia tungekuwa tumefungwa hata 7
Kepa ni pazia lenye matobo
Na wewe unajua Current Issues, wacha unazi. juzi tu ulikuwa ukitujazia historia ya Arsenmal hata kabla babu zako hawajazaliwaWe're talking about current issues[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sawa mimi na wewe tuliangalia tofauti, wewe si unatumiaga steaming media za textsHahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] yaani wewe jamaa unazingua sana, yaani soka tulione jana mubashara alafu unataka mtu asikilize commentators[emoji23][emoji23][emoji23] Wallahy huku ni kuchanganyikiwa,
Kuna wakati zile za buluu zilikuwa kama koni yule mwamba Keita alivyokichafua pale kati,
Usimdanganye mwenzio, goli 5 ni nyingi sana, CH3L5EA mlipigwa kwa uwezo na mlikoswa magoli mengi sana kama Filmino angetulia na Salah angeacha mapepe yake mngekula 9[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata magoli yenu mlipata kutokana na udhaifu wa Trent katika kudefend, ilitakiwa mfe 9 bila.
Sasa mkuu yaani game imepigwa jana tu, msiba bado mbichi kabisa unataka kuturusha tuone kama hakijatokea kitu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]Na wewe unajua Current Issues, wacha unazi. juzi tu ulikuwa ukitujazia historia ya Arsenmal hata kabla babu zako hawajazaliwa
Umecheza vizuri ukala mkono,ungecheza vibaya ungepasuliwa 10 huko [emoji3][emoji3][emoji3]Chelsea jana tulicheza vizuri
Kwa standard ya mpira wa jana tukikutana na hao maiti wa emirate watakula 7 au 10 kwa mabao machache ya kufuta machozi
magoli yale hata manula hafungwiNaon kama huu ndio msim wa mwisho kw kepa amefail kuprove, sawa defenc yetu inashida ila kipa na yeye anashida zaidi kuna magoal tunafungwa kipa hata hajitutumui kufanya save
Magoal anayofungwa kepa ni yale yale ya kila siku anavyofungwa yani mtu akiwa mbali tu akishoot anajua kabisa anafunga
Kwa hali ile hata tukiwa na beki nzuri kama kipa na yeye anaendelea kufanya mistake stil tutakuwa itakuwa bado hatujawa tayari kushindania ubingwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila nikiingia humu nakumbuka kipigo cha jana, aisee siku ya jana ilikuwa mbaya sana kwangu. Yaani nilijisikia vibaya mno ukiongeza na ujinga wa yule takataka DullyJr ndio akazidi kuniumiza zaidi.
Ila yote kwa yote jana tumecheza mpira safi kabisa
Mngecheza vibaya mngekula 10Chelsea jana tulicheza vizuri
Amber as Amber on his best[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We takataka subiri dawa yako iko jikoni inapogoma, uliona ule moto wa Pulisic.?
Tarehe 1 nitakufanya kitu mbaya huto amini paka shumi ww.
London is blue
Pride of London.
Takataka za 5g[emoji23][emoji23]We takataka subiri dawa yako iko jikoni inapogoma, uliona ule moto wa Pulisic.?
Tarehe 1 nitakufanya kitu mbaya huto amini paka shumi ww.
London is blue
Pride of London.