Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Nyie wenyewe ndio huwa mnasema huo mwaka ndio tuliozaliwa sasa na sisi tunaanza kuhesabia umo umo bado mnalia lia. [emoji23][emoji23][emoji1609]Wanajimegea vipindi eti wanasema tuanze kihesabj kuanzia mwaka 2000[emoji23][emoji23][emoji23]hawa ni vichaa!!! Ina maana kuanzia 1999 kurudi nyuma cheltako haijakuwepo duniani? Kama ni hivyo timu yao imeanzishwa 2000 sasa kwanini wakomae kuutaka ukubwa na hata barehe ya kwanza bado, yaani bado vigoli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana nasema hili ni jukwaa la vitoto[emoji23][emoji23][emoji23]
Mickey Mouse Cups. [emoji706]Lol [emoji851][emoji851]Kusanya mataji yako mpaka ya championship lete tupige hesabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona simple tu.
Ni addition na substraction tu[emoji95]
Pulisic katoka wapi? Haya Lacazete naye tusemaje?Midtable player!!!! Toa mchezaji pale bayern sio kuokoteza RB na Liverksen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ynajivunia mafanikio ya wanaume wenzako. Uko sawa kweli wewe? [emoji28][emoji28]Sasa kama huyo WCP wako sisi huku alikuwa ni kapi, je una shaka gani juu ya huu uKING tulionao mzee?
View attachment 1512822
Pepe na dunia nzimaunacompare pepe na pulisic!?
Kwa nini alitoka? simply, no futureSasa kama huyo WCP wako sisi huku alikuwa ni kapi, je una shaka gani juu ya huu uKING tulionao mzee?
View attachment 1512822
Hamuamini kuwa Pepe kaflop mazima!Pepe na dunia nzima
Giroud aliuzwa kumpisha Auba,was unexpected move ila basi ikabidi aende tu,uzuri amemaintain unless angekuwa Montpellier nwKwa nini alitoka? simply, no future
Kujibu comment km hz ni kujipa njaa tu[emoji3][emoji3]Hamuamini kuwa Pepe kaflop mazima!
Alikuwa hana nafasi mkuuKwa nini alitoka? simply, no future
Hueleweki nini wamaanisha, au ndio kuchanganyikiwa[emoji23]Ynajivunia mafanikio ya wanaume wenzako. Uko sawa kweli wewe? [emoji28][emoji28]
. Wenye shudu ni nani kati ya mimi na nyinyi? Mnaokomalia ukubwa wakati in reality ni timu ndogo sana kwetu[emoji23][emoji23]Pulisic katoka wapi? Haya Lacazete naye tusemaje?
Pointless mzee mpaka unaanza kuboa sasa[emoji26]
Najua moyoni umeelewaHueleweki nini wamaanisha, au ndio kuchanganyikiwa[emoji23]
Fanbase kubwa, ipi? give me a break, fanbase yenu si ile ya wazee wa 40's 50's and 60's. God forgive me kusema haya, Wengi wao walikufa kwa Corona,. Wenye shudu ni nani kati ya mimi na nyinyi? Mnaokomalia ukubwa wakati in reality ni timu ndogo sana kwetu[emoji23][emoji23]
Tunawachapa kwa kila kitu kuanzia resources, fan base, trophies, head to head, etc[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo wewe ulichokiona ni fan base pekee [emoji23][emoji23][emoji23]vingine hujaona maana vinakuumiza[emoji95][emoji57]Fanbase kubwa, ipi? give me a break, fanbase yenu si ile ya wazee wa 40's 50's and 60's. God forgive me kusema haya, Wengi wao walikufa kwa Corona,
akaze tu atulize akil atacheza mbon mount mwenzie anachezaMabishoo wanazingua sana
huwez pewa chance kma hujitumii msmu ujao utkuw una compitetion san kwa nafas za mbeleMabishoo wanazingua sana