Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii comment huwa wanairuka teh teh
Wanajimegea vipindi eti wanasema tuanze kihesabj kuanzia mwaka 2000[emoji23][emoji23][emoji23]hawa ni vichaa!!! Ina maana kuanzia 1999 kurudi nyuma cheltako haijakuwepo duniani? Kama ni hivyo timu yao imeanzishwa 2000 sasa kwanini wakomae kuutaka ukubwa na hata barehe ya kwanza bado, yaani bado vigoli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana nasema hili ni jukwaa la vitoto[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila huu ufalme wenu umekuwa gumzo
Aise
 
Kusanya mataji yako mpaka ya championship lete tupige hesabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona simple tu.
Ni addition na substraction tu[emoji95]
 
kuna mechi kacheza kma winga thus y nkamlinganisha so icho ndo nlicho mkompare nacho
 
Kwani hapo chelsea WCP ni nani na nani? Usije kusema Giroud tuliyemtema kwa kukosa nafasi katika kikosi chetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu usichekeshe umma kante humjui sio, tulikuwa n hazard kasepa sahv tunawachezaji potential Wa kufika level hizo pulisic, Werner, ziyech ...huyo giroud mliomtema cha ajabu amenyanyua kwapa msimu wake Wa pili tu huko auba anajuta anajiuliza kwenye mkataba
 
Wewe hujieleei yaani Timo na pulisika ni WCP hahahaah
 
Duh sasa hcho kikosi ziyech utamuweka wapi...kama unahic mount atacheza kiungo
Ziyech, Mount na Kai Havertz wanacheza namba flexible za mbele kwa hiyo kuwaswitch kulingana na oponent ni kazi rahisi
 
Hawajielewi hao, wanaforce heshima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wamepambana wao wanataka mserereko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati wanaume tunajadili mipango ya maendeleo, namna ya kuchukua mataji zaidi, ninyi mnajadili historia. Hii ndio big difference between Chelsea and Arsenal
 
Kwani hapo chelsea WCP ni nani na nani? Usije kusema Giroud tuliyemtema kwa kukosa nafasi katika kikosi chetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtawajua kwa matendo yao, Giroud katupa Europa na sasa anakaribia kutupa top 4 tena top 3. Hapo vipi?
Giroud kaondoka kwa walalahoi kwenda kwa Mabingwa watetezi wakati huo Chelsea ili apate kibali cha kucheza Kombe la Dunia 2018

Arsene Wenger has revealed that Olivier Giroud’s determination to play for France at the 2018 World Cup was behind the striker’s decision to leave Arsenal for Chelsea in the January transfer market.

Chelsea completed the signing of Giroud earlier this week, on an 18-month deal for a fee in the region of £18m.

His move to the reigning Premier League champions was confirmed soon after Arsenal completed a club record deal for Pierre-Emerick Aubameyang, who arrived from Borussia Dortmund for £56m.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…