John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Inasikitisha kwa kweli....nafikiri hii ndo mechi yangu ya mwisho kuangalia nasubiri huo mwezi Wa Tisa msimu mwingineInaumiza kwakweli. Nashindwa hata kuandik ni maumivu gani niliyonayo.
Ila tuzidi kuwa na Imani na Timu yetu nina imani tutamaliza ligi tukiwa nafasi nzuri
Nyie viazi hamna teamInasikitisha kwa kweli....nafikiri hii ndo mechi yangu ya mwisho kuangalia nasubiri huo mwezi Wa Tisa msimu mwingine
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Inasikitisha kwa kweli....nafikiri hii ndo mechi yangu ya mwisho kuangalia nasubiri huo mwezi Wa Tisa msimu mwingine
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Baki na imani kwamba mungu mmoja siyo hiyo takataka cheltako [emoji1787][emoji1787]Inaumiza kwakweli. Nashindwa hata kuandik ni maumivu gani niliyonayo.
Ila tuzidi kuwa na Imani na Timu yetu nina imani tutamaliza ligi tukiwa nafasi nzuri
Mtamaliza nafasi ya tano 5Inaumiza kwakweli. Nashindwa hata kuandik ni maumivu gani niliyonayo.
Ila tuzidi kuwa na Imani na Timu yetu nina imani tutamaliza ligi tukiwa nafasi nzuri
Usikute yupo amejificha kwenye uzi wa mia khalifa kupoteza stress .Olachuga hutamuona hapa mpaka baada ya siku mbili
Juma LOkoLe hauwezi kuwa na kauli kabisa mana ww team yako nyote maandwangaWatu wenye matusi naishiaga kuongeza tu kwenye ignore list
Amberruti ni Olechuga, nafikiri atakua anagawa tu sasa hivi, si unajua yule beki hazikabiNiitieni Amberruti popote alipo
Amberruti ni Olechuga, nafikiri atakua anagawa tu sasa hivi, si unajua yule beki hazikabi
Ndio huyo huyo Olla a.k.a Amberruti, yupo bize wanakisugua [emoji23]