Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

I real love chelsea but the recent results surely disappoint me
hapa naona bora mwenye timu mzee abramovich aingilie kati ili hii aibu ituondoke kufungwa na timu ambayo yumekuwa tukiifunga kwenye 15 past Matches leo wanatufunga
 



Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee EPL kiboko .... ..... ...







Wapi Peas of ants et al ... .... ..... ...





Benched .... ...£50 million ... ..
​
 
Kabla ya kuwa carried over hebu tuangalie nini kilitokea mazoezini .... .... ...mafioso wanabeba mabomu chijui wanataka kumlipua nani?



''After a gun and a knife there's a new weapon of choice at Chelsea... smoke bombs!''




Jamaa wapo ki -elshahab zaidi kuliko kimpira khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Huu uamuzi huenda ukwarudisha wale waliokimbia hili jukwaa
 
Sijajisikia vibaya kwa AVB kuondolewa, ni kocha mzuri lakini sio kwa club kubwa kama Chelsea. We need someone with experience to deal with those few egos at the club.
Good luck for him popote aendako.
 
Mkulima unafikiri nani atawafaa kama Mourihno,Anceloti na Hiddink wote wameondolewa?
 
Leo mwacheza na Birmingham tena ugenini jamani, mkifungwa naona kibarua cha 'caretaker' manager pia kitakua hatarini!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…