Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Cash Money Forever Overall Lampard Ni kocha mzuri baadhi ya game anajua kumsoma mpinzani na kuja na mbinu sahihi mfano mzuri game na man City tulioshinda 2,game dhidi ya Tottenham Tumepata 6 point na approch ya game alikuja kitofauti,game dhidi ya Arsenal n.k

Hii team ingekuwa inafundishwa na Mourinho au ole nakumbuka hatuku sajili + majeruhi ya Mara kwa Mara ya yaliotukuta wachezaji wetu muhimu tungekuwa tunashika nafasi ya 9-12 Hadi sasa

Ubora wa Lampard
1.Management
Anajua kumanage team na kupata kilichobora kwa mchezaji pale alipokosa penalty Abraham super cup Dhidi ya Liverpool ingekuwa kocha Kama Mourinho Abraham asingepata Nafasi tena lakini bado Lampard aliweka matumaini kwake na Leo Abraham ana goals 14 na kiasi fulani magoal yake yamesaidia mpaka tupo kwenye nafasi hii.

Kuna wakati tuliwakosa rudiger,Kante, Kovacic na jorginho kwa wakati mmoja na still tuliweza kupata matokea na hakuwahi kulalamika kuhusu majeruhi Kama anavyofanya Mourinho badala yake atawapa nafasi waliobaki na hii imesaidia wachezaji kujitoa Sana.

Lampard anaishi na wachezaji Kama marafiki zake ndo maana ujawahi kusikia Kuna ugomvi wowote hata katika kipindi tuliokuwa tunapata matokea mabaya.

Udhaifu wake
1.favouritism
Pamoja na ubora mkubwa lakini ana hii changamoto unaweza ukakuta Willian kachoka badala ya kumuingiza Pedro atamwingiza bishoo odoi na alikuwa anampenda Sana Abraham hata pale ambao hayupo inform still alikuwa anampanga instead ya Giroud.
lembu
Southern Highland
Papaa Gx
LONDON IS BLUE
mart66
 
Team haina mabeki tuwapeni Phil Jones na uhakika mwakan ubingwa wenu [emoji23][emoji23]
 
Angekuwa kocha mwingine, timu iko kwenye ban, Hazard kaondoka tusingekuwa top six nakuambia
Timu haina wafungaji wa maana lakini ndio timu ya tatu kwa kufunga magoli mengi
Timu haina 1st eleven lakini tupo nafasi ya tatu na bado kuna mashabiki wanamkandia na kumtukana
Lampard ni Genius coach EPL hata PEP hatamkuta akipewa muda kama miaka 3 au 4
 
Mi shabiki wa Chelsea tangu Gianluca viali mocha,Ranieri amenikuta Chelsea [emoji23][emoji23].Siku Abramovich anainunua Chelsea nilikua nasikiliza BBC idhaa ya Kiswahili na sikutarajia kama angewekeza mapesa mengi hivi. Chelsea wakongwe tupo sana tu.
 
Mi shabiki wa Chelsea tangu Gianluca viali mocha,Ranieri amenikuta Chelsea [emoji23][emoji23].Siku Abramovich anainunua Chelsea nilikua nasikiliza BBC idhaa ya Kiswahili na sikutarajia kama angewekeza mapesa mengi hivi. Chelsea wakongwe tupo sana tu.
Sijakataa ila nimesema hawa wanaopiga mayowe hapa,lakini pia wikipedia zipo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi shabiki wa Chelsea tangu Gianluca viali mocha,Ranieri amenikuta Chelsea [emoji23][emoji23].Siku Abramovich anainunua Chelsea nilikua nasikiliza BBC idhaa ya Kiswahili na sikutarajia kama angewekeza mapesa mengi hivi. Chelsea wakongwe tupo sana tu.
Wewe Ni jinsia ya kike au kiume?
 

Naunga mkono hoja. Ukikuta shabiki au mashabiki wanaomponda Lamp ujue wamebeti au amebeti then wameliwa[emoji23][emoji23][emoji23]πŸ₯ƒ
 
farb alikua level kubwa sana ngumu sana kumpata kiungo aina ya farb Man untd wanesuffer same consequences kbla hajaja bruno now wako stable coz Bruno ankuoffer more than other middles

Same to Tottenham nao wanapitia changamoto

Huwez mlaaumu kwa wachezaji kutokuw na consistence unkut leo viungo wamcheza vzr but viungo haohao wancheza ovyo gemu inayofuata

Kingen kiungo anawez kuonekan mzur kutokana na timu inayo mzunguk
Mfano pogba Alkuw anaonekan amedrop before Bruno but now ana shine io ikichangiwa na forwads walio nao
Wanfanya timu pinzan msifunguke wao ndo wanatawala mchezo na viungo apo wanaonkn
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…