Abraham hawezi kabisa kudrible. kuna mpira aliupata easy dribling ilitakiwa ili ajiweke kwenye nafasi nzuri ya kufunga au ku assist akashindwa. Ajifue zaidi kwenye ufungaji la sivyo atakuwa hana msaada wowote uwanjaniAbraham
R.L. Cheek
Hawa wenzao wanapokuwa uwanjani wanacheza mechi, wao wanatakiwa wabaki uwanja wa mazoezi wanaendelea na mazoezi binafsi.
Sasa hivi inaitwa "CHELSEA ON FIRE"Hii siyo arsenal mkuu
barkley ni copy version ya lampardKiukwel nilikuwa simkubali Barkley ila sasa naanza kumuelewa.
Mimi simkubali RLC hata senti.Kiukwel nilikuwa simkubali Barkley ila sasa naanza kumuelewa.
Mimi nilimuelewa siku nyingi. Barkley akiwa kwenye form utampenda, akilala utamchukiabarkley ni copy version ya lampard
KaArsenal wamekatoa kidiplomasiaSo ni
Arsenal Vs Manchester City
Manchester United vs Chelsea
Barkley kaperform vizuri dhidi ya Liverpool fa cup, Dhidi ya Everton tukimpiga goals assist katoa mbili, Aston villa kiufupi ana muendelezo mzuri wa performance.Kwa mechi moja tu.!!??
Hapa wamepanga kwa upendeleo ili London tukose kombe ,maana Chelsea kibonde wake City, ila kwa nyumbu anatepeta,So ni
London City vs Manchester City
Hawa nyumbu nilikua nawatamani sana. Shughuli yao imeisha kenge jike watakoma kuitwa mashetani.
Hata iweje kombe linabaki London. [emoji838][emoji838][emoji838]Hapa wamepanga kwa upendeleo ili London tukose kombe ,maana Chelsea kibonde wake City, ila kwa nyumbu anatepeta,
Na Arsenal kibonde wake Nyumbu ila kwa City hali inakuwa mbaya sana.
Wangepanga Nyumbu vs Arsenal
City vs Chelsea
Kombe lingekiwa jijini London.
Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
Utaishia kunitandika kwenye keyboard yako. Mashabiki wenzako jasho linawatoka kusikia mmepangiwa Chelsea. Tukutane hiyo JulyNakutandika mara ya 4 hii
Utaishia kunitandika kwenye keyboard yako. Mashabiki wenzako jasho linawatoka kusikia mmepangiwa Chelsea. Tukutane hiyo July