Unachosema ni ukweli mtupu. Ina case huna fundi ya kutosha kwa timu tuliyonayo lazima tungeanza kuimarisha mbeleWanasema:-
"Timu inanayochukua ubingwa/kombe ina beki bora"
"Timu inayoshinda mechi ina safu bora ya ushambuliaji"
Kwahiyo vyote kwa pamoja vina umuhimu kwenye timu, sio tunafunga magoli mengi yanaishia kusawazishwa.
Kumbuka kuna kipindi tulikuwa tukiongoza goal halidumu linasawazishwa muda huo huo.
Hii hali ipo mpaka sasa Chelsea haiwezi kushinda 1-0, mechi itaisha 1-1 au 1-2.
Dk 90 roho mkononi tukipigiwa kona tunafunga macho.
Hapo umesema ukweli. Tatizo kubwa ya Chelsea ni defense pekee. Ukiangalia pale katikati na huko mbele, unapata cfc iko na wachezaji wengi zaidi na wa hali ya juu ata wengine hawapati chance.Mtazamo wangu Chelsea ifocus kuimarisha maeneo ya msingi Kama Centra back na left back huyo kai waachane nae hatuna tatizo kwenye kiungo.Chelsea ndio team ya pili (big create chances most) nyuma ya man city, Man city ana 199, Chelsea ana 157 wakati Liverpool ana 155 Hadi sasa kwenye msimu huu.Tatizo la msingi la Chelsea ni kuconvert those chances into goals so why we sign Timo werner so hatuna tatizo la kiungo Ziyech anaweza pia kucheza no 10 role tunae, Pulisi,RLC,mount as well as Kovacic so huyo Kai wanini? Ukiangalia sifa kuu aliyonayo Kai ndio anayo RLC na Mount Hawa wote Ni scoring midfielders.Hiyo pesa kubwa ya Bei ya Kai kanunueni beki kisiki na left back shughuli itakuwa imeisha sio kumnunua Kai.
lembu Cash Money Forever Haifungiki Kyatile
LONDON IS BLUE Ollachuga Oc
Kwa nini mkuu!?Mzee hutakiwi uedit nilichokiandika, kosa kubwa sana
Ndugu yangu sijui kama nimekuelewa, kwa protokali hakuna sehemu aliyotaja kwamba timu inamtaka striker au hao wengine. Na sidhani kama kuna kocha atakaye taja kitu kama hicho kwa sababu atawavunja morale wachezaji wake ambao bado atawategemea kwenye kumletea matokeo. Majibu ya kocha huwa ni kwenye usajili. Kwa taarifa yako Lampard ndie mkuu wa scouting team. Hakuna usajili unaofanyika bila ya yeye kuhusika. Makocha huko nyuma yaweza kuwa hawakuwa wanasikilizwa akina Conte na Sarri ila Lampard kwa sasa anasikilizwa sana na managementi na pia bosi mkuu RomanSwali:- Yapi yalikuwa maeneo Lampard alitaja/alitaka yafanyiwe usajili?
Mi nakumbuka katika interview Lampard alizokuwa anafanyiwa baada ya kupoteza mechi alikuwa anasema:-
"Timu imecheza vizuri imetengeneza nafasi nyingi za kufunga lakini tumezipoteza"
Alimaanisha kwamba ufanyike usajili wa STRIKER.
Je Lampard alishawahi kutaja LB, CB, CAM ? Au sisi mashabiki ndio tunapendekeza wasajiliwe?
Je usajili wa ZIYECH ni Lampard au Marina?
Sent using Fly in any Weather.
We ni mla unga na unaonekana tu ni mandazi, huna loloteWe kiazi hamna kitu unajua.
Hili ndio tatizo la mashabiki uchwara. Yan wanamuona mchezaji mechi moja tayari wanatumia hiyo kumjudge. Watu wamemfuatilia kitambo wao wanaleta negatives.
Kabla hujajibu negative comment hebu jaribu kufatilia michango yake kwenye majukwaa mengine unagundua kabisa matatizo yake.We ni mla unga na unaonekana tu ni mandazi, huna lolote
Asante kwa ushauriKabla hujajibu negative comment hebu jaribu kufatilia michango yake kwenye majukwaa mengine unagundua kabisa matatizo yake.
Hao una achana nao.