Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kweli kabisa. Hata wages zao ni kubwa. And Harvetz won't come cheap in wages, either. And you won't afford having all of them on the payroll.
 
Yaan kwenye midfield hauna mmoja kati ya Kante au Jorginho. Hatuta survive bro. Experience ya Jorginho au Kante ndio itakayo mpa maturity Gilmour mentally. Sasa kumuamni kuwa regular starter mbele ya Jo na Kante haitaleta matokeo mazuri.
 
Assumption ni kwamba Kante na Jo watauzwa na nimeeleza kwenye heading
 
Hawawezi kuuzwa wote kwa pamoja.

Possibility ya Kante kuuzwa ndio kubwa kuliko Joginho.

Labda Jognho aamue kumfuata baba yake kule Juve wakavute bangi pamoja.
Wenye uwezekano mkubwa wa kuondoka ni Alonso, Kante, Drinkwater na waliomaliza mikataba yao: Willian na Pedro. Mourinho anamtaka Zouma na sijui kama atauzwa nyuma kati ni Christiansen, Tomori na Rudiger tu. Consistency ya Christiansen ni ya mashaka labda kama watataka kuwapandisha walioko mkopo akina Matt Miaziga au Clarke-Salter
 
Assumption ni kwamba Kante na Jo watauzwa na nimeeleza kwenye heading
Mkuu mimi assumption ya kuuzwa wote ni haipo. Kuna uwezekano akauzwa mmoja hasa Kante
Hawawezi kuuzwa wote kwa pamoja.

Possibility ya Kante kuuzwa ndio kubwa kuliko Joginho.

Labda Jognho aamue kumfuata baba yake kule Juve wakavute bangi pamoja.
 
Kabla ya lile boko dhidi ya Barca alikua vizuri sana. Nadhani baada ya ile situation ilimwondolea confidence yote.
 
Ni beki mzuri sana, ana utulivu wa hali ya juu, hata akiwa na mpira hana papara kama zouma. Alipokua moncheglabach kwa mkopo alichukua tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwa klabu

Ni namba 5 classic kabisa, sema tatizo chelsea hatuna namba 4 mzuri, yeye anaweza zaidi kucheza kama last man.

Ni nature ya terry.
 
REAL MADRID are ready to join the battle for Kai Havertz – but Chelsea remain in pole position with the German prodigy keen on a move to the Premier League.

Spanish giants Real are the latest to register an interest in Bayer Leverkusen star Havertz, who is regarded as Germany’s best young talent since Michael Ballack. But Chelsea are optimistic they can win through with their bid of around £70m, as revealed exclusively by SunSport on Tuesday.

Atalanta in for Pulisic
Atalanta technical director Giovanni Sartori has revealed his side have made an approach to sign Chelsea winger Christian Pulisic on loan.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…