Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,418
Sijui, lakini ukijumlisha Timo 53, Ziyech 33, na kama watawanunua Chiliwell 70+, na Havertz 75+ itakuwa zaidi ya $/£ 231K. Lazima wauze wachezaji. Lakini sina ufahamu wa kutosha juu ya hilo. Wenye ufahamu zaidi watatujuza.SWALI:- Dirisha la January Lampard alitengewa £200M za usajili, ina maana kipindi kile tungeitumia yote kufanya usajili maybe tusingeuza mchezaji, inakuwaje sasa hivi tunaitumia budget yetu inatulazimu tena kuuza wachezaji kubalance vitabu?
Shukrani bro.Kwa mfano hizi club kubwa zinatengeneza faida kubwa sana kupitia vyanzo mbalimbali mbali na kuuza wachezaji.
Club zina uwezo wa kusajili wachezaji kupitia vyanzo vingine vya mapato bila kuuza wachezaji
Au Hii FFP inaangalia mapato tuu ya kuuza wachezaji? ya balance na ya kununua wachezaji?
FFP ilianza kutumika takriban miaka 10 (2011/12) baada ya Abramovich kuinunua Chelsea. Kwahiyo wakati huo ilikuwa haitumiki ndio maana Chelsea ilikuwa inazipiku sana timu zingine. Iliweza kumnunua mchezaji yeyote inayomtaka.Kama hiyo sheria ya FFP inaangalia tuu mapato ya kuuza wachezaji hiyo sheria itakuwa sio kabisa.
Kwa mfano Abromovich alivyoinunua Chelsea, si alimwaga mpunga mrefu wa kusajili wachezaji, na uhakika mapato ya kuuza wachezaji yalikuwa kiduchu wakati huo.
Ilikuwaje FFP haikuwa applied?
Sidhani kama wanaangalia hilo tu,, nadhani zaidi ni structure ya payment za mishahara..Sijui, lakini ukijumlisha Timo 53, Ziyech 33, na kama watawanunua Chiliwell 70+, na Havertz 75+ itakuwa zaidi ya $/£ 231K. Lazima wauze wachezaji. Lakini sina ufahamu wa kutosha juu ya hilo. Wenye ufahamu zaidi watatujuza.
Lakini naona wakiwekeza kwa kununua watoto wasiofahamika na wenye talent, watakuja kuzishangaza timu kubwa [emoji23][emoji23]. Sema na timu kubwa nazo zinajiimarisha juu kwa juu....Timu ndogo kuchukua ubingwa ni ndoto aisee. Timu chache sana zitaweza kutoboa kama Leicester city. Wakubwa wataendelea kuwa wakubwa forever.
Mkuu unatumia cha wapi? Hii haiwezi kuwa ya Arusha lazims ni kutoka Zimbabwe au Malawi.Morata arudi
Labda Njombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unatumia cha wapi? Hii haiwezi kuwa ya Arusha lazims ni kutoka Zimbabwe au Malawi.
Ya Njombe nayo ina stimu?Labda Njombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inasifika pia lakini haiikuti ya Kisimiri Arusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ya Njombe nayo ina stimu?
wakipata tajiri watatoboaTimu ndogo kuchukua ubingwa ni ndoto aisee. Timu chache sana zitaweza kutoboa kama Leicester city. Wakubwa wataendelea kuwa wakubwa forever.
Wapi pulisic?Jinsi Chelsea itakavyokuwa baada ya usajili wa msimu wa 2020/2021 wa akina Havertz, Timo, Ziyech na bila ya Jo, Kante, Barkley na Emerson
4-2-3-1
Timo Werner
Mount - Havertz - Ziyech
Kovacic - Gilmour
Chilwell - Rudiger - Christensen - James
KEPA
4-3-3
Timo Werner - Havertz - Ziyech
RLC - Gilmour - Kovacic
Chilwell - Rudiger - Christensen - James
KEPA
3-4-3
Timo Werner - Havertz - Ziyech
Alonso - Gilmour - Kovacic - James
Chilwell - Rudiger - Christensen
KEPA
4-2-2
Timo Werner - Abraham
Gilmour - Kovacic
Chilwell - Rudiger - Christensen - James
KEPA
4-2-2
Timo Werner - Havertz
Gilmour - Kovacic
Chilwell - Rudiger - Christensen - James
KEPA