Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,061
- 27,474
Mis understandings. Habari niliyoisoma mwanzo ni FA wanalalamika kwa FIFA kwa nini tulifutiwa adhabu na kutosajili na blah blah kibaoLakini hapa FA wanaitetea Chelsea ndio maana wameishitaki FIFA kwa CAS, au mimi sijakuelewa unamaana gani
Hata FA walipigwa faini kwa suala la Chelsea kwa hiyo siidhani kama wangeifurahia hiyo adhabuMis understandings. Habari niliyoisoma mwanzo ni FA wanalalamika kwa FIFA kwa nini tulifutiwa adhabu na kutosajili na blah blah kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheeee... Dogo acha upimbi, man utd kagugonga game zote 3; hilo halina ubishi. Na hata sasa ukija, man utd anakugonga vile vile. Usitafute mlango wa kulalia kuwa unafanyiwa hujuma, li timu lako ni la hamasa tu, huna wachezaji pale.Tukiwaambia watu sisi Chelsea tunafanyiwa fitna na bodi ya ligi ya Uingereza hawaamini. FIFA wamechunguza wakaifuta ile adhabu lakini bado watu wanang'ang'ania tu. Matatizo ya siasa kuingia kwenye mambo ya mpira kunakua na uonezi mkubwa mno. Mfano ni zile mechi zetu 3 na Man Utd mi sioni kama zilikua fair kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
LOH! ABRAHAM AMEPEWA MIPIRA MINGI SANA AKASHINDWA KUIMALIZIA GOLINI. HUMBUKI TULIVYOKUWA TUNASHIKA VICHWA ABRAHAM KUSHINDWA KUMALIZIA NAFASI ZA WAZI KIBAO?Abrahama ni box striker kama alivyokuwa Ronaldo Delima aliyevuma makombe matatu mfululizo kombe la dunia. Box striker anawategemea sana feeders wa mipira. Mfano mzuri wa feeding ni kama ushirikiano wa Diego Costa na Fabregas. Diego Costa kawa wa ovyo nje na feeder mzuri kama Fabregas.
Tatizo la Chelsea halipo kwa Tammy, liko kwa wingers na viungo wasiojua kumchezesha striker. Tusubiri ujia wa Ziyech na kama pia tutabahatika kusajili kiungo wa caliber ya Fabregas ndipo tumjaji Tammy. Gilmer anaonyesha dalili za kufikia ubora wa Fabregas huko mbeleni
Abraham ni maandazi tu , akiguswa kidogo anaanguka, Nafasi nzuri anapoteza.LOH! ABRAHAM AMEPEWA MIPIRA MINGI SANA AKASHINDWA KUIMALIZIA GOLINI. HUMBUKI TULIVYOKUWA TUNASHIKA VICHWA ABRAHAM KUSHINDWA KUMALIZIA NAFASI ZA WAZI KIBAO?
ABRAHAM SIO FINISHER MZURI KABISA HATA ANGEKUWA ANACHEZA NA FABRIGAS NA HAZARD. HANA MAAMUZI YA AKILI NYINGI, MZITO KUJEUKA, AKISHABANWA ANASHINDWA ACHOMOKAJE ANAJIANGUSHA. PIA ULE UREFU WAKE NI CHANGAMOTO KWENYE UFUNGAJI.
Abraham ni maandazi tu , akiguswa kidogo anaanguka, Nafasi nzuri anapoteza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa madogo ndio maana hawaendelei. Wanaendekeza vibumbu kupita maelezo. Mambo kama haya ndio yalimfanya Barkley akae bench miezi miwili baada ya ile issue yake ya kufanya fujo club.
Atakaa benchi au jela!Hawa madogo ndio maana hawaendelei. Wanaendekeza vibumbu kupita maelezo. Mambo kama haya ndio yalimfanya Barkley akae bench miezi miwili baada ya ile issue yake ya kufanya fujo club.
Sasa huyu dogo atakaa benchi mpaka achoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani, inatia aibu , mchezaji wa club kubwa kama Chelsea, unalipwa mshahara mzuri ndani ya wiki , unaacha kula bata na mtoto mzuri yoyote wa kiingereza, unaenda kufosi show ( kubaka ) .. Daaahhh... Huyu wamfunge kabisa tusimuone.
Analipwa 180k p/w ,lazima awehuke ,Hawa madogo ndio maana hawaendelei. Wanaendekeza vibumbu kupita maelezo. Mambo kama haya ndio yalimfanya Barkley akae bench miezi miwili baada ya ile issue yake ya kufanya fujo club.
Sasa huyu dogo atakaa benchi mpaka achoke
Sent using Jamii Forums mobile app
99% kasingiziwa. Wanawindwa kwa sababu ya mihela walionayo. Unakumbuka issue ya CR7.Yaani, inatia aibu , mchezaji wa club kubwa kama Chelsea, unalipwa mshahara mzuri ndani ya wiki , unaacha kula bata na mtoto mzuri yoyote wa kiingereza, unaenda kufosi show ( kubaka ) .. Daaahhh... Huyu wamfunge kabisa tusimuone.
Sent using Jamii Forums mobile app