Daaa natamani tungekuwa na mechi nyingine na nyie mana ndio sehemu tunayokuwa na uhakika 100% wa kupata mipointi[emoji1]#EPL: Ligi kuu soka England, huenda ikarejea wiki ya kuanzia Juni 8 mwaka huu, baada ya kikao cha jana cha majadiliano ya lini wachezaji wataruhusiwa kufanya mazoezi ya pamoja.
Klabu zimekubaliana kwamba mazoezi yataanza mei 18 mwaka huu na mechi zitaanza kuchezwa bila mashabiki wiki tatu baadaye, lakini serikali ya Uingereza imesema itahakikisha wachezaji wanafuata njia za kujilinda zaidi na virusi vya #Corona.
Jarida la #Sportsmail, limeripoti kuwa, katika majadiliano yaliyofanyika, klabu zinataka ligi imalizike juni 30 ili kuondoa ugumu wa kuwaongezea mikataba wachezaji, pamoja na mikataba ya kibiashara.
#EPL #Chelsea #
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili mtucheze mara tatu sasa huo ni upuuzi......Daaa natamani tungekuwa na mechi nyingine na nyie mana ndio sehemu tunayokuwa na uhakika 100% wa kupata mipointi[emoji1]
Una akil sanaKati ya mchezaji nisiyependa aje Darajani ni Countinho. Namuona kama ataendelea kuwa flop hata darajani. Ni bora tumpe Willian mkataba wa miaka mitatu kuliko kumsajili Countino labda kama tutapewa kwa mkopo
Huyu kashakuwa flop ,na atakuja hapo kuwa flopHII IMEKAAJE
Barcelona are ready to offer Chelsea a huge swap deal which would see N’Golo Kante moving to the Nou Camp and Philippe Coutinho in the opposite direction to Stamford Bridge.
Coutihno soon is coming back to English Premier ..and now is London
Coutihno will be blue soon
Welcome bro ..to the great team & praidi of London (ndo ivyo au nmekosea[emoji3][emoji3])
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Namkubali Sana coutinho bonge la player nitafurahi Sana akija darajani.Coutihno soon is coming back to English Premier ..and now is London
Coutihno will be blue soon
Welcome bro ..to the great team & praidi of London (ndo ivyo au nmekosea[emoji3][emoji3])
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea wamefanya uwamuzi sahihi Cha msingi hapo batshuayi auzwe.Giroud akubali mkataba mpya wa mwaka mmoja
View attachment 1429584
Giroud agrees Chelsea contract extension?
Chelsea have agreed a one-year contract extension with veteran striker Olivier Giroud, according to Italian journalist Gianluca Di Marzio.