Simkubali kabisa Barkley ila leo kacheza vizuri kuliko siku zote kwa upande wangu
Huyo ndie Barkley wa Everton, kaamua leo kuimaliza timu yake ya zamani.Simkubali kabisa Barkley ila leo kacheza vizuri kuliko siku zote kwa upande wangu
jisemeee mwemyewe na mahaba yako kwa samata si tunapiga keng hatujali nani yupoJumamosi ijayo ni CHELSEA VS Samatta
Sasa mseme kabisa mtamshabikia Samatta au Chelsea
Gilmour kama akiwa consistent basi tunaweza kumaliza ndani ya top 4....Kiukweli watoto hawawezi kukupa ubingwa hata siku moja. Wanacheza vizuri leo kesho wanaboronga mpaka unabaki kushangaa.
Mpangilio wa kikosi leo naona ulibalance vyema.
Tumejua kuwa Joginho ni hasara ndani ya hizi match mbili ambazo Gilmour amecheza. Ila kabla ya hapo tusidanganyane. Joginho akikaa nje tulikuwa tunaahuhudia kinachotokea. Otherwise kama wewe mwenzetu mpira wako unaangalizia live score...Niki type kuwa Jognho ni hasara Lembu anakuja na kusema wen plastic fan
Nikisema tammy si wa kumzidi Giroud
Maana g anachezesha timu Lembu ananimind
Umeonaaaa
Hajui kabisa kukaba joginhoGilmour kama akiwa consistent basi tunaweza kumaliza ndani ya top 4....
Joginho alikuwa anacheza sababu tu ilikuwa akikaa ndani team inatulia. Lakini hizi match mbili Gilmour alizocheza kidogo kumekuwa na utulivu na creativity.
Huyu Gilmour anajitahidi sana kukaba na yuko very accurate kwenye passes zake. Wote mnajua kuwa Joginho karibu kila match lazima ale yellow card sababu ya kukaba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niki type kuwa Jognho ni hasara Lembu anakuja na kusema wen plastic fan
Nikisema tammy si wa kumzidi Giroud
Maana g anachezesha timu Lembu ananimind
Umeonaaaa
Tumejua kuwa Joginho ni hasara ndani ya hizi match mbili ambazo Gilmour amecheza. Ila kabla ya hapo tusidanganyane. Joginho akikaa nje tulikuwa tunaahuhudia kinachotokea. Otherwise kama wewe mwenzetu mpira wako unaangalizia live score...
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Sana kwa kutupa highlight za magoal hapa ndo nakupendeaga sana
Naunga mkono hoja yako kwa asimilia 💯 ana mahaba Sana na Abraham huyoNiki type kuwa Jognho ni hasara Lembu anakuja na kusema wen plastic fan
Nikisema tammy si wa kumzidi Giroud
Maana g anachezesha timu Lembu ananimind
Umeonaaaa