Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 314
Hahaha, pole sana, umeongea kinyonge sana. Mechi ijayo mtashindaDah kweli hakuna kitu imeniuma kama kufungwa na manyumbu mechi tatu.
Kiuhalali matokeo yangekuwa hivi:-
Ile mechi ya kwanza sawa wangetufunga
Mechi ya pili tungetoka nao draw
Mechi ya tatu tungewafunga na sisi.
Sent using Cash Money Wings
LAMPARD TAKATAKA. HATA AKIPEWA LIVERPOOL UTASHANGAA KIKOSI KINAKUWA CHA OVYO. ATASHINDWA UTILIZE UBORA WA WACHEZAJI KWA MBINU ZAKE ZA OVYO.
On board Chelsea is a better team than Bournemouth. Why should we be defeated?
Vizuri kwa kuelewa hali ya timu yakoNi moja ya matokeo tumegawana point. Hatujapoteza game
Sent using Cash Money Wings
TRUTH MKUU, LAMPARD TAKATAKA HAKUNA KOCHA HAPO, ANAFUNDISHA MPIRA WA KITOTO, MBINU ZA KITOTO KWENYE LIGI NGUMU, HALAFU LIKICHWA LAKE SIJUI HUKO NDANI LIMEJAA MAGUNZI MMBISHI KUBADILIKA.
KIUFUPI LAMPARD ANAFAA KUWA KOCHA WA TIMU YA WANAWAKE CHELSEA.
LAMPARD ANAMLA KIBOGA MOUNT, KADRI ANAVYOENDELEA KULIWA KIBOGA NDIVYO UWEZO WA DOGO UWANJANI UNAZIDI KUSHUKA NA HAKUNA WA KUMGUSA
Jamaa anaongea ovyo utasena ana card ya membership kumbe ni mpuuzi kutoka buza ambae hata cent 5 hajawai changia
Jamaa anaongea ovyo utasena ana card ya membership kumbe ni mpuuzi kutoka buza ambae hata cent 5 hajawai changia
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi wewe unayejisifi kuwa unbeaten kwa mwaka 2020 kwenye epl halafu umejaza sare?Muda wote wapo kwetu tu jukwaani ona sasa back to back ya vipigo inanukia
Sent using Jamii Forums mobile app
leteni kocha mwingine basi...Nitaendelea kusema Lampard sio kocha wa hadhi ya timu kama Chelsea anaturudisha nyuma sana mpk Bournemouth inaonekana timu bora kuliko sisi wachezaji wanakaa na mpira hawajui wafanye nn sioni akikaa mda kwenye timu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie arsenal mmeshindwa kumsajili ili awaokoe na sare mnazopata kila siku.?Mshaurini kocha wenu amsajili Mbwana Samatta au Isamila Sarr, huwezi kutegemea Alonso na ruediger wafunge magoli kila mechi.
Hujui top scorer EPL anatoka timu gani?? Ebu tamka hilo jina kwanza, Pierre Emerick Aubameyaang, hapo bado tuna Eddie Nketiah na Martinelli ambao ni clinical finishers kuliko U23 yoyote Epl.Mchukueni Samatta mkuu muipeperushe bendera ya TZ.Nyie arsenal mmeshindwa kumsajili ili awaokoe na sare mnazopata kila siku.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Soon nakutoa hapo ulipo soonVipi wewe unayejisifi kuwa unbeaten kwa mwaka 2020 kwenye epl halafu umejaza sare?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado mmetolewa kule futuhi, na mwakani hata futuhi hamtashiriki!Hujui top scorer EPL anatoka timu gani?? Ebu tamka hilo jina kwanza, Pierre Emerick Aubameyaang, hapo bado tuna Eddie Nketiah na Martinelli ambao ni clinical finishers kuliko U23 yoyote Epl.Mchukueni Samatta mkuu muipeperushe bendera ya TZ.