Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

In reality. Bournemouth yupo kwenye form zaidi ya Chelsea. Katika matches tano za mwisho, Bournemouth ameshinda matches mbili, huku Chelsea akishinda mechi moja tu! ... kwa mujibu wa stats, Bournemouth ni hatari kuliko Chelsea ambaye anamiliki mpaka 75% ya mpira lakini anashindwa kwa shots on target na Bournemouth mpaka dkk 86.

Ni wazi timu zishajua mtindo wa Lampard, anaendekeza kucheza na mpira bila madhara, hivyo mpe acheze nao, sisi tukipata ni counter mpaka goli. Kaadhibiwa hivi mara kadha wa kadha lakini bado hajataka kujifunza wapi anakosea, hii maana yake ni MWANA KUYALILIA, MWANA KUYAPATA.

Ndio waweza sema ana wachezaji substandard lakini kocha mzuri ni yule anayeweza ku-utilise kwanza alichonacho ingali akiwa anatafuta anachokosa. THIS MAN DOESNT LEARN FROM HIS MISTAKES

Sent using Jamii Forums mobile app
 

TRUTH MKUU, LAMPARD TAKATAKA HAKUNA KOCHA HAPO, ANAFUNDISHA MPIRA WA KITOTO, MBINU ZA KITOTO KWENYE LIGI NGUMU, HALAFU LIKICHWA LAKE SIJUI HUKO NDANI LIMEJAA MAGUNZI MMBISHI KUBADILIKA.

KIUFUPI LAMPARD ANAFAA KUWA KOCHA WA TIMU YA WANAWAKE CHELSEA.
 
Tukiongea tunaonekana mamluki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitaendelea kusema Lampard sio kocha wa hadhi ya timu kama Chelsea anaturudisha nyuma sana mpk Bournemouth inaonekana timu bora kuliko sisi wachezaji wanakaa na mpira hawajui wafanye nn sioni akikaa mda kwenye timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

LAMPARD ANAMLA KIBOGA MOUNT, KADRI ANAVYOENDELEA KULIWA KIBOGA NDIVYO UWEZO WA DOGO UWANJANI UNAZIDI KUSHUKA NA HAKUNA WA KUMGUSA
 
Hivi ukisema kwamba Lampard ana kikosi dhaifu ndo mana hashindi, inamaana unahitaji world classes ndo upate matokeo dhidi ya Bournemouth? Yani unamshindwa home and away?

Sent using Jamii Forums mobile app
LAMPARD TAKATAKA. HATA AKIPEWA LIVERPOOL UTASHANGAA KIKOSI KINAKUWA CHA OVYO. ATASHINDWA UTILIZE UBORA WA WACHEZAJI KWA MBINU ZAKE ZA OVYO.
 
FACTS ABOUT LAMPARDS TEAM
1.Can't make a comeback
2. Cannot score a corner
3.plays with no ambition
4.Doesn't know what killing the game means courtesy of lampard
5.The coach don't has a constant line up
5.The trys to attack only after being scored

LAMPARD CAN'T MANAGE CHELSEA, HE NEEDED TO BE AN ASSISTANT 1ST
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…