Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Kweli tumeona wakipandisha viwango vyaoOf course ban imetuathiri kiasi Fulani tusingekuwa na wachezaji hao ila kwa leo na history tulionayo naamini Bayern wataona pachungu Stamford bridge hata hao wachezaji unaowaona hawana quality Leo watapandisha viwango vyao.
Kwa kweli alikuwa sahihiWe unafikiri mpira ni raisi hivyo!, wa wapi wewe?
Kwa comment hii nahisi wote hamna chenuChelsea leo anashinda kiulaini tu
Vipi matokeo hapo daraja la mfugaleHili game si rahisi kama unavyoliongelea, au unafikiri chelsea ni arsenal?
Hiyo zaidi imekuharibiaKepa au caballero watarudi kwenye nyavu zaidi ya Mara 3
Vipi hapo daraja la mfugale ,Dah Kila la kheri chama langu timu ya baba timu ya mama...
Chama la maisha yangu the blues..
In Lampard We Trust..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
UpuuziOf course ban imetuathiri kiasi Fulani tusingekuwa na wachezaji hao ila kwa leo na history tulionayo naamini Bayern wataona pachungu Stamford bridge hata hao wachezaji unaowaona hawana quality Leo watapandisha viwango vyao.
Ujinga mwingine huuIla jua kwamba Chelsea sio Kama team yako Arsenal
Na KWELI wamefungika kirahisi hata Mimi nimeonaBarkley ni mzuri, sema leo hayuko kwenye form. Kuna haja ya Willian na Pedro kuingia kumpa hamasa Giroud. Pengo la Kante linaonekana live. Kovacic hatembei kama ada yake. Jorginho, Mount, James, Chrisesten na Rudiger safi.
Bayern ya leo wanafungika kabisaa!
[emoji28][emoji28][emoji28]Dah Kila la kheri chama langu timu ya baba timu ya mama...
Chama la maisha yangu the blues..
In Lampard We Trust..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngapi uko bila kepaIngekuwa ni Kepa tungekuwa nyuma kwa goli 3-0
Chelsea ni mbovu kuliko ArsenalHili game si rahisi kama unavyoliongelea, au unafikiri chelsea ni arsenal?
[emoji28][emoji28][emoji28]Hapa ndo tunauona ukweli..
Kikosi chetu cha sasa wacheezaji wengi ni average players wanastahili kichezea timu ndogo.. Jezi ya chelsea ni kubwa sana kwao..
Kingine, saiv wachezaji wetu wengi hawajitoi 100%,, nadhani ni muda sasa qa kufanya overhaul ya kikosi.. Vinginevyo kila big match matokeo chanya yatakua ni kama miujiza ...
Also,, niliwai kusema na kuna mtu alinibishia sana humu ndani.. Chelsea sasa hivi ni wabovu sana kwenye set pieces,, sijui lampard kama analiona hili swala, yaani ikipatikana kona unajua kabisa 50% tumefungwa... We are too weak kwakweli kwenye set pieces
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kikosi ni cha kucheza na Bayern au Singida?