Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

mkuu pole ila kwenye defense wala huwezi kuwalaumu aisee, that move was classic, tunamuomba sturridge wakuu
Hawa jamaa waliwahisema wako tayari kumnunua Modric kwa pesa wakichanganya na Sturridge, sijui bado ofa ipo pale pale. Kama ipo tunakubali, huyu bwana mdogo kila siku azidi kwenda juu. Akiendelea hivi atakuwa hatari huko mbele ya safari.
 
Hahahaha! asante ndg yangu mkulima...uzur unajua kua najua kua unajua....final scores says more than these words...uwe na siku njema ya kufungua maboxi ewe mbeba maboxi.

hahahaha! japo ndo siku yenyewe ya kufungua maboxi, naogopa nisijepewa P45 kabla ya mwaka mpya, hahahahahaa!!!! Eq yuko wapi siku hizi, sijamwona tangu 1-6, yuko hai!!
 
hawa foolishhome hawa walitubania tukatoa nao droo looserpool wao walipigwa ishu tu manure sijui ni manure b maana hata sielewi..
 
mkuu pole ila kwenye defense wala huwezi kuwalaumu aisee, that move was classic, tunamuomba sturridge wakuu

Ahsante mkuu, ile defence wangeza kabisa kuwa tighter pale, Cole hakukaba vizuri. Studge haondoki Chelsea, is our main goal threat.
 
hahahaha! japo ndo siku yenyewe ya kufungua mabozi, naogopa nisijepewa P45 kabla ya mwaka mpya, hahahahahaa!!!! Eq yuko wapi siku hizi, sijamwona tangu 1-6, yuko hai!!

Hahaha! yule bro angu kwa kwel sina majibu ya harakaharaka juu yake...ila ka alikuja 'kula' xmas bongo, nna mashaka kama hajabebwa na mafuriko haya..lmao!
 
Poleni jirani, wenzenu walivuna hapo nyie imekuwaje?. Bado mmo kwenye mbio au ndio mnanyanyua mikono mapema?

To be honest imeshakuwa ngumu sana (sio kwamba haiwezekani, lakini ngumu) kwetu kuhusu ubingwa, lakini tutamaliza juu ya fat Arses na Spuds! hahaha.
 
Hahaha! yule bro angu kwa kwel sina majibu ya harakaharaka juu yake...ila ka alikuja 'kula' xmas bongo, nna mashaka kama hajabebwa na mafuriko haya..lmao!

Hahahaha, au alikosa return flight kutoka Basel?!!!!
 
Chelski, tunawashukuru rasmi kwa kuwaachia the gunners kuwa juu yenu kesho, kwenye nafasi ya nne!

Cheers Blues! You guys are very kind, thanks again!
 
Huwezi kuamini kuwa huyo golikipa juzi alipigwa goli tano

Hii ndio EPL
 
Chelsick are still struggling with Malaria plus plus 🙂🙂...Poleni Wakuu wa jukwaa hili.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahaha! yule bro angu kwa kwel sina majibu ya harakaharaka juu yake...ila ka alikuja 'kula' xmas bongo, nna mashaka kama hajabebwa na mafuriko haya..lmao!

Good luck for the rest of the season, I hope you stick two fingers on Man Shitty and The Poo (I would like to see bitter Scousers got wound up with 20 jibe, hahahaha) at the end of the season. I have to admit, my team isn't good enough to challenge for the title this season.
 
Chelski, tunawashukuru rasmi kwa kuwaachia the gunners kuwa juu yenu kesho, kwenye nafasi ya nne!

Cheers Blues! You guys are very kind, thanks again!

Hahahahaha, enjoy it while it lasts, because it never does!! Come May you'll be looking up.
 
Chelsick are still struggling with Malaria plus plus 🙂🙂...Poleni Wakuu wa jukwaa hili.

hahaha, huyu jamaa anapenda sana Malaria!! What's your specialization in the malaria world, immunology, vaccinology, mol biology, parasitology, entomology, drug trials/resistance....or what?!!!! au unapenda tu malaria?!
 
Hahahahaha lol! Mie napenda tu Chelsick wapone kabisa Malaria yao ili waanze kufanya vitu vyao kama wanavyotarajiwa na siyo kutoa sare na timu kama Fulham 🙂🙂
 
Well said Peasant.
Best of lucky katika CL...for sure, from UK...am only supporting u fellas, to hell with Gonaz.
 
Hahahahaha lol! Mie napenda tu Chelsick wapone kabisa Malaria yao ili waanze kufanya vitu vyao kama wanavyotarajiwa na siyo kutoa sare na timu kama Fulham 🙂🙂

hahahaha, OK chief!
 
Well said Peasant.
Best of lucky katika CL...for sure, from UK...am only supporting u fellas, to hell with Gonaz.

Thanks for support....yeah, Gonaz are as thick as they come, I don't understand why would someone support them! hahahahahahaha!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom