. Io inawezekana ikatokea kwa sababu mke wake pia anapush kubaki London pale,so arsenal wakimtaka no rahisi kumpataWakala wake ni Kia
Kuna tetes summer tukamleta pale North London , maana hakuna dalili kama wataafikiana na Chelsea
Aje pale arsenal tumpe Left wing ,
Kikosi kikiwa hivi sitokanyaga hapa milele,madongo yangu ntakuwa nayarushia mbali kweli...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi werner ndio huyu naemchek mechi y tot. yeye na kipa anakosa??!!
Valencia alitaka kututoa ROHO, Atlanta kampiga 4-1.
Atlanta Hard work + Team work = Pays
WILLAN amekuwa Raia wa UingerezaView attachment 1364551
Wakala wake ni Kia
Kuna tetes summer tukamleta pale North London , maana hakuna dalili kama wataafikiana na Chelsea
Aje pale arsenal tumpe Left wing ,
kma unamoyo mdogo mechi ya kesho usiangalieLampard:
- RLC back in the Chelsea squad.
- Kante, Pulisic out, Christensen and Abraham in squad.
- Kepa decision still just based on performances.
- Giroud in contention to start.
- Not thinking battle with Mourinho back at the Bridge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me ntaangalia tu kigumuKwa kweli.
Mechi za jumamosi huwa siangaliagi kutokana na majukumu ya kikazi. Nitaifuatilia livescore.
Kilalaheri wana Chelsea.
Son na Kane hawapo tushindwe wenyewe.
Hata kama wangekwepo, game tunashinda. Sijui Morhinho huwa mnamuogopa nini? wakati alishaishiwa tokea akiwa man yu. Ata ukiangalia mechi za tot. hakuna mpira wowote wanaocheza.Kwa kweli.
Mechi za jumamosi huwa siangaliagi kutokana na majukumu ya kikazi. Nitaifuatilia livescore.
Kilalaheri wana Chelsea.
Son na Kane hawapo tushindwe wenyewe.
huyu cabarrello ni kisangaChe VS Spurs Predicted Lineup using 4-2-3-1
Abraham
Willian - Mount - Pedro
Kovacic - Jorginho
Azpilicueta - Rudiger - Christensen - James
Caballero
Na kepa je?huyu cabarrello ni kisanga
Na kepa je?
bora kepa huyu cabarrelo sijawah kumuaminNa kepa je?
Na Lampard kaliona hilo anamtaka Nick popeBora kusajili kipa mwingine kuliko caba na keppa
Bora kepa kuliko huyo CaballeroNa lampard kaliona hilo anamtaka Nick pope
Yaan kama timu ikifanya On target 5 kwa kepa na cabarelo ,kuna uhakika wa magoli 3
Bora kepa kuliko Caba