Hahahah... Ziyech mpaka mwezi wa 7 mzee... Mpaka msimu uishe ndo atakuja kuanza kucheza chelsea. Ni kama ulivokuwa usajili wa Pulisic
Hawa nyumbu hawatoki leo hata kama Ziyech hayupo....Hahahah... Ziyech mpaka mwezi wa 7 mzee... Mpaka msimu uishe ndo atakuja kuanza kucheza chelsea. Ni kama ulivokuwa usajili wa Pulisic
Sent using Jamii Forums mobile app
Ziyech bado hajasainiHahahah... Ziyech mpaka mwezi wa 7 mzee... Mpaka msimu uishe ndo atakuja kuanza kucheza chelsea. Ni kama ulivokuwa usajili wa Pulisic
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia kwenye browser yako hasa Chrome search total sportek ingia option ya football hapo utachagua mechi then itakuletea link kibao hapo kazi kwako kuchagua tu. Hakikisha mtandao wako umedinda kweli kweli otherwise huta enjoy mpira.
Ingia chrome apo,, google hesgoal..
Ingia kwenye browser yako hasa Chrome search total sportek ingia option ya football hapo utachagua mechi then itakuletea link kibao hapo kazi kwako kuchagua tu. Hakikisha mtandao wako umedinda kweli kweli otherwise huta enjoy mpira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia chrome apo,, google hesgoal..
Ikishaleta machagua,, fungua football news,, utakutana na iyo mechi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Batshuay katika chamce 5 either apate moja or akosd zote huwa sijawahi mkubaliPedro alikuaga fundi sana huyu jamaa,, spidi na maamuzi ya haraka..
Sema umri unamtupa mkono,, siku izi pumzi inawahi sana kukata aisee..
Kiungo kiko sawa tu,, hata beki,, ila kwa caballero pia shughulu tunayo.
Afu uyo sharobaro hapo mbele batshuayi, hua hajielewi kabisa .. Gemu kama hii ni golden chance kwake lakin utoto hua unamsumbua sana huyu jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
. Kumuangalia batshuay ukiwa na stress unaweza pasua tvBatshuay katika chamce 5 either apate moja or akosd zote huwa sijawahi mkubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Samani mzee baba hivi unaangaliaga mechi za Chelsea?