Mastriker wote ambao wako vizur utaangalia tim kubwa zote zinawataka kuanzia kwa lautaro martinez mpka kwa dembele
Me naona turudi kama zaman tulikuwa na sheva na drogba then tukawa na drogba na anelka na wote walikuwa wanatupa matokeo katika mechi tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kisahihi. Kati ya vijana wadogo tulio nao, Reece na Tammy are very much talented. Hakuna timu yenye akili inaweza kumwacha Tammy. Strikers wangapi wana magoli kumzidi pale Ulaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiseme ni kawaida. Hivi humu ndani kuna mtu alikuwa anamlaumu diego costa kwamba ana kosakosa magoal?Strikers kupoteza nafasi ni kawaida. Cha muhimu atengenezewe nafasi nyingi. Firminho anakosa ngapi? Aguero anakosa ngapi?
Kila mara nasema tutumie kichwa kufanya judgement na siyo mioyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya hao uliotaja possibly Timo Wener anaweza kureplivate performance yake EPL, ila hao wengine ni kama Luca Jovic tu. Alafu unachopaswa kufahamu wachezaji wengi wenye uraia wa Ujerumani na hata makocha ndoto zao za maisha ni kuitumikia Bayern Munich.HAAA unataka tuwataje na majina? Kuna Timo Werner. Halaand ndio yule tumemuacha kaenda dortmund. Hata dembele mwenyewe yupo tough kuliko huyo Tammy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumfananisha Tammy na firmino unakosea sana. Kule Liverpool wachezaji wamegawana magoal. Ndio maana inakuwa ni ngumu kumuona firmino ana goal nyingi.Hivi mkuu uko serious kweli, Tammy ana magoli mangapi? Na huyo Firminho ana magoli mangapi? Tammy akiondoka kila mtu atamlilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi za diego costa hata hazard anafunga... na wengine wanafunga hivo kulikuwa na mgawanyo wa magoal....Salah, Firminho wanapoteza ngapi jamani? Hiyo kwa striker yeyote ni jambo la kawaida. Diego costa alikuwa anamaliza msimu na magoli 20's unataka kusema timu nzima alikuwa inamtengenezea nafasi za wazi 30 tu kwa msimu mzima?
Let's be fair
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya hao uliotaja possibly Timo Wener anaweza kureplivate performance yake EPL, ila hao wengine ni kama Luca Jovic tu. Alafu unachopaswa kufahamu wachezaji wengi wenye uraia wa Ujerumani na hata makocha ndoto zao za maisha ni kuitumikia Bayern Munich.
Ila huyo Haaland na Dembele siwezi kuwapa nafasi over kijana wa miaka 23 ambaye ananipa magoli 12 nusu msimu ndani ya EPL.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumfananisha Tammy na firmino unakosea sana. Kule Liverpool wachezaji wamegawana magoal. Ndio maana inakuwa ni ngumu kumuona firmino ana goal nyingi.
Huyo Firmino ana goal 8 na assist 7, Salah ana goal 14 na assit 6 Pia Mane ana goal 12 na assist 6.
Sisi chelsea Baada ya Abraham goal 13 na assist 3 tu na anayefuata ni Pulisic ambaye ana goal 5 tu.
Hivi huoni tofauti hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijawalinganisha ila nataka kukuonesha kazi ya magoli aliyo nayo Tammy ni mengi. Sasa kama swala ni kugawana magoli, Chelsea ni Tammy anawakwamisha wengine kufunga? Mbona Firminho bado sote tuna mkubali na mimi nikiwepo na wakati magoli yake ni pungufu ya aliyo nayo Tammy? Hivi Willian kutofunga magoli mengi ni kosa la Tammy, Mount kutofikisha magoli 8 nusu msimu ni kosa la Tammy?, Kovacic kuwa na goli moja ni kosa la Tammy?
Tuwe fair kwa Tammy ndugu zangu. Kama tungekuwa na mawinga wenye assist nyingi na magoli mengi haya yasingesemwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi za diego costa hata hazard anafunga... na wengine wanafunga hivo kulikuwa na mgawanyo wa magoal....
Kwa Taarifa yako huyo Tammy Abraham ndo anaongoza kumiss chances epl nzimaView attachment 1359966
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaweza kuja EPL kufanya alichofanya Tammy? Kati ya hao wote hata goli 13 zinaweza kuwashinda msimu mzima. Maana mifano tunayo mingi sana. Di Maria, Batshuay, Falcao, na wengine wengiDembele ana miaka 23 kama Tammy. Haland ana miaka 19 tu. Au umedhanj wote ni wazee?
Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa the blues sio lazima nimpende huyo sawa
Uyo dembele atakua flop tu mtakuja kumkataaa siku, league one strikers ndo kama lacazzate na kina PepeHAAA unataka tuwataje na majina? Kuna Timo Werner. Halaand ndio yule tumemuacha kaenda dortmund. Hata dembele mwenyewe yupo tough kuliko huyo Tammy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi na wewe hatujui lakini kusema hawawezi kufanya alichofanya Tammy siyo sawa kabisa.Wanaweza kuja EPL kufanya alichofanya Tammy? Kati ya hao wote hata goli 13 zinaweza kuwashinda msimu mzima. Maana mifano tunayo mingi sana. Di Maria, Batshuay, Falcao, na wengine wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo anaongoza sawa humuoni Firminho na Mane hapo? humuoni Gabriel Jesus hapo juu? Hapo tunazungumzia washambuliaji bora kabisa duniani.
Kwa hiyo hilo likuoneshe kwamba hata washambuliaji wakubwa wanamisi chance kama ilivyo kwa Tammy.
Ndiyo maana nikasema striker kukosa nafasi ni jambo la kawaida kwenye mpira.
Kama kuna tatizo la kuadress Chelsea ni lack of creativity siyo Tammy. Wewe angalia Tammy kamiss clear chances 16. Ila Liverpool sasa jumlisha big chances missed by Firminho 16, Mane 15, Salah alafu sasa angalia idadi ya magoli ya kila mmoja. Hilo linakwambia timu inatengeneza chances nyingi kitu ambacho hakipo Chelsea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni mentality tu. Drogba na Hazard walitoka ligi ipi?Uyo dembele atakua flop tu mtakuja kumkataaa siku, league one strikers ndo kama lacazzate na kina Pepe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Tammy anaonekana hivyo kwa sababu wachezaji wengine hawafumgi pia. Kumbuka hata Tammy anatoa pass kwa wengine wanashindwa kufunga. So cha msingi ni kuelewa ni swala la muda Tammy atakua vile mnataka awe. Subirini msimu ujao akipata mawing wa pembeni waliochangamka zaidi mtamshangaaEnzi za diego costa hata hazard anafunga... na wengine wanafunga hivo kulikuwa na mgawanyo wa magoal....
Kwa Taarifa yako huyo Tammy Abraham ndo anaongoza kumiss chances epl nzimaView attachment 1359966
Sent using Jamii Forums mobile app
Dembele mechi 23 league goli 13
With modern football kufunga si kazi ya striker pekee. My argument was based on that essence. Hivi kwa nini igamble na mtu ambaye haijui akija atafanya nn while tayr tuna our own man?Mimi na wewe hatujui lakini kusema hawawezi kufanya alichofanya Tammy siyo sawa kabisa.
Halafu sikuwahi kujua kama Di maria alikuwa Sriker
Sent using Jamii Forums mobile app
Mane je? I think it's wise to be logical. Wasting of chances can happen to anyone. Hivi msimu ulipita kuna mtu pale Liverpool kawaste chances kama Salah?Hao kumiss chances nyingi siyo justification ya Tammy kuwa sahihi. Nmetolea mfano wa mohamed Salah ambaye kamuss chances nusu ya hizo za Tammy angalia ana goal ngapi. Muangalie Aguero.
Sent using Jamii Forums mobile app