Willian kama alitaka kwenda BARCA tukamkatalia, ili hali mkataba wake unaisha mwisho wa msimu huu, tutegemee atacheza chini ya kiwango, haioni tena future ndani ya chelsea.
Sent using Cash Money Wings
Kwa kepa tukubali tu tushapata hasara ingekuwa msim uliopita tungesema labda league inakasi hajaizoea
. Last season mbon aliperform vzr t sometimes. kiwango kunashuka bahati mbaya
Kwa kepa tukubali tu tushapata hasara ingekuwa msim uliopita tungesema labda league inakasi hajaizoea
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana nikakuuliza una maana gani????we hujamuona Messi hapo na Aguero
Thnx brother, umeniwakilisha maoni yangu.
Kila mwanaume mwenye mafanikio nyuma yake kuna mwanamke. Kepa hayuko sawa kisaikolojia baada ya kuachana na mchumba wake
at least man u lakini tot na bayern kuna hatari
Dah huyo mwenyewe unayemsemea ameshatupiga mechi mbili msimu sa ni kheri ya tote kuliko man uat least man u lakini tot na bayern kuna hatari
man u kuna posble draw ngumu ni tot wana kuja na revange na ukizingatia wao wamepanda moral nowdayDah huyo mwenyewe unayemsemea ameshatupiga mechi mbili msimu sa ni kheri ya tote kuliko man u
Sent using Jamii Forums mobile app
Mourinho hawezi kubali afungwe game 2 na frankDah huyo mwenyewe unayemsemea ameshatupiga mechi mbili msimu sa ni kheri ya tote kuliko man u
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umenena vyema kiongoziman u kuna posble draw ngumu ni tot wana kuja na revange na ukizingatia wao wamepanda moral nowday
| Timu | Uwezekano wa kumaliza top 4 |
|---|---|
| Manchester City | 90% |
| Leicester City | 70% |
| Chelsea | 60% |
| Tottenham Hotspur | 40% |
| Manchester United | 30% |
| Everton | 20% |
| Sheffield United | 10% |
| Wolverhampton Wanderers | 2% |
| Arsenal | 1% |
Arsenal hakustahili kabx kupata hata 1%Utabiri wa timu zitakazomaliza top 4
Liverpool wao uhakika wa ubingwa haina ubishi
Timu Uwezekano wa kumaliza top 4 Manchester City 90% Leicester City 70% Chelsea 60% Tottenham Hotspur 40% Manchester United 30% Everton 20% Sheffield United 10% Wolverhampton Wanderers 2% Arsenal 1%
@DullyJrUtabiri wa timu zitakazomaliza top 4
Liverpool wao uhakika wa ubingwa haina ubishi
Timu Uwezekano wa kumaliza top 4 Manchester City 90% Leicester City 70% Chelsea 60% Tottenham Hotspur 40% Manchester United 30% Everton 20% Sheffield United 10% Wolverhampton Wanderers 2% Arsenal 1%