Ila tuwe wakweli Lampard anambeba Sana mount hao wengine Sina tatizo nao Kuna mechi nyingi mount anaboronga still anakuwa first eleven lakini wengine anakuwa faster kuwatoa mfano mzuri kovacic.Kuna game kabisa unaona hazimuitaji mount kutokana na uchezaji wake especially kwenye team zinazodefend na zipo well organized muda mwingi cos mount sio mtu ambaye ana idrive team au kutengeneza nafasi kwa team za aina Hiyo mtu sahihi hapo ni kovacic cos nimbunifu ana uwezo wakuifunga defense ya team pinzani, ana control game Cha ajabu unakuta Lampard ana muanzisha mount instead of kovacic hapa ndio anaponishangaza Lampard.Kuna mtu hapa anaitwa ENZO anafikiri yeye anaweza kutamka neno lolote la kukashifu au kutukana na akapewa like.
Anawachukia kuanzia Kocha hadi wachezaji wa Kiingereza hata kama wanafanya vizuri na mbaya Zaidi anasindikiza chuki yake na matusi juu na ndio maana mimi siwezi jibu wala kuweka like kwenye maandishi yake labda ajirekebishe. Na mimi ninapomkosoa mtu najumlisha nature ya tabia yake kwenye mazungumzo na pia nafanya utafiti mdogo kuhusu mada husika.
Lampard ni kocha pekee mwenye kufanya maamuzi magumu bila kuangalia utaifa wa mchezaji
Barkley alipovurunda kwenye ile penalty na Valencia aliondolewa kwenye chaguo la kwanza la kupiga penalti
Tomori alipofanya defensive error kwenye mechi kadhaa alidropiwa na nafasi yake sasa yuko Andreas Christensen kwa kubadilsihana na Rudiger
Lakini kuna mtu hapa Mount akikosea kidogo Lampard anawapendelea Waingereza
Barkley akiingizwa au kuanza, Lampard anawapendelea Waingereza
Kila mtu atakubaliana nami pamopja na Lampard
Hawa watoto
Akina
wana talent ndani yao. Wasipopewa nafasi wakaondoka tutarudia makossa yale yale ya Man city kumuachia Jadon Sancho, Chelsea kumuachia Debruyne, MO Salaha na Lukaku
- Reece
- Tammy
- Mount
- Tomori
Jorginho - kova hii ilikuwa imeclickA:- MAELEWANO UWANJANI YANAKATA YANARUDI YANAKATA YANARUDI.
Kovacic - Jognho - Kante
Pulisic - Tammy - Willan
Pulisic - Batshuayi - Willan
B:- MAELEWANO HAKUNA UWANJANI
Mount - Jognho - Kante
Mount - Jognho - Barkely
Mount - Kante - Barkely
Odoi - Tammy - Willan
Odoi - Tammy - Pedro
Mount - Tammy - Willan
Mount - Tammy - Odoi
Odoi - Batshuayi - Willan
Mount - Batshuayi - Willan
Mi nadhani matatizo ya chelsea uwanjani ni zaidi ya viwango vya wachezaji.
Inakuwaje wachezaji hakuna mawasiliano mazuri ya kiuchezaji? Tunakuwa kama tunabahatisha mifumo ya uchezaji
Angalia man city, liverpool wanaelewana sana sana kuanzia nyuma mpaka mbele ile flow ya mpira unaiona kabisa.
Sent using Cash Money Wings
Problem lake lampard ataki kumweka mount bench ili tucheze midfielders watatu jorginho, kovacic na kante.Jorginho - kova hii ilikuwa imeclick
Sema mchezaj kama kante huwezi ukamuweka njee
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatuliza temper ya gameKaka naomba uongelee umuhimu wa JOGNHO kwenye kikosi, ukirefer nafasi yake anayocheza sambamba na mifumo na mbinu za kocha wa sasa?
Sent using Cash Money Wings
Kama uliangalia game ya arsenal na Chelsea ile ya Emirates Chelsea ilikuwa inapoteza mipira mingi hakuna utulivu kabisa ila baada ya kuingia jorginho Chelsea ikawa imecontrol game nzima na kukawa na utulivu eneo la Kati lakini akawa kiunganishi kizuri Kati yake na mabeki tofauti na mwanzo ambapo hakuwepo lakini pia akaipush team kwenda mbele kumshambulia.Tuwaweke pembeni mount, kovacic na Kante tumuongelee huyu Jognho umuhimu wake kwenye kikosi kuna swali nimeuliza hapo juu, naomba tushare mawazo
Sent using Cash Money Wings
Holding midfielder.Nimewapata wakuu so Joginho ni HOLDING MIDLFELDER AU DEFENSIVE MIDFLIFER?
Sent using Cash Money Wings
Original position ya kante anacheza jorginho hiv sasa lakini wakiwa na majukumu tofauti kante alikuwa na jukumu la kulinda defender kwa kukaba na kuzuia mashambulizi but jorginho kazi yake ni kudetect game, kucontrol game pamoja kuunganisha team.kwa maana Hiyo kante Kama akirudi nafasi yake inabidi jorginho atolewe Hiyo nafasi acheze kwenye nafasi ya kiungo wa pembeni anayocheza kante hiv sasa.Kwa upande wangu naona itafanya vizuri Sana Hiyo formation.Oky kwa mfano KANTE akarudi kucheza original position Defensive Mildfilder.
JOGNHO akaendelea kucheza nafasi yake.
Kovacic/Mount wakachezeshwa ATTACKING MIDFIELDER perfomance pale katikati itakuwaje?
Sent using Cash Money Wings
Sijakataa hilo lakini sio anawabeba waingereza, kwa sababu Barkely ni mwingereza, Tomori ni Mwingereza pia. Kwenye kila klabu kocha ana mapenzi na baadhi ya wachezaji na Lampard ana mapenzi sana na vijana wadogo of course ile ligi ya kwao ni lazima kama wako vijana wenye kuleta matumaini kama Moun t lazima wapendelewe na Lampard anajua limit ya kuwapendelea kwamba Chelsea ikifanya vibaya atafukuzwa hata kama mkataba wake alipewa timu isishuke daraja.Ila tuwe wakweli Lampard anambeba Sana mount hao wengine Sina tatizo nao Kuna mechi nyingi mount anaboronga still anakuwa first eleven lakini wengine anakuwa faster kuwatoa mfano mzuri kovacic.Kuna game kabisa unaona hazimuitaji mount kutokana na uchezaji wake especially kwenye team zinazodefend na zipo well organized muda mwingi cos mount sio mtu ambaye ana idrive team au kutengeneza nafasi kwa team za aina Hiyo mtu sahihi hapo ni kovacic cos nimbunifu ana uwezo wakuifunga defense ya team pinzani, ana control game Cha ajabu unakuta Lampard ana muanzisha mount instead of kovacic hapa ndio anaponishangaza Lampard.
Ila tuwe wakweli Lampard anambeba Sana mount hao wengine Sina tatizo nao Kuna mechi nyingi mount anaboronga still anakuwa first eleven lakini wengine anakuwa faster kuwatoa mfano mzuri kovacic.Kuna game kabisa unaona hazimuitaji mount kutokana na uchezaji wake especially kwenye team zinazodefend na zipo well organized muda mwingi cos mount sio mtu ambaye ana idrive team au kutengeneza nafasi kwa team za aina Hiyo mtu sahihi hapo ni kovacic cos nimbunifu ana uwezo wakuifunga defense ya team pinzani, ana control game Cha ajabu unakuta Lampard ana muanzisha mount instead of kovacic hapa ndio anaponishangaza Lampard.
Kwenye 4-3-3 tu ndio Kante anacheza nje ya position yake ya zamaniOriginal position ya kante anacheza jorginho hiv sasa lakini wakiwa na majukumu tofauti kante alikuwa na jukumu la kulinda defender kwa kukaba na kuzuia mashambulizi but jorginho kazi yake ni kudetect game, kucontrol game pamoja kuunganisha team.kwa maana Hiyo kante Kama akirudi nafasi yake inabidi jorginho atolewe Hiyo nafasi acheze kwenye nafasi ya kiungo wa pembeni anayocheza kante hiv sasa.Kwa upande wangu naona itafanya vizuri Sana Hiyo formation.
Tuwaweke pembeni mount, kovacic na Kante tumuongelee huyu Jognho umuhimu wake kwenye kikosi kuna swali nimeuliza hapo juu, naomba tushare mawazo
Sent using Cash Money Wings
Ukiwaanzisha Jog, Kova na Kante timu inakose creativity kabisa. So lazima Mount awepoProblem lake lampard ataki kumweka mount bench ili tucheze midfielders watatu jorginho, kovacic na kante.
Mount ana ubunifu upi?Ukiwaanzisha Jog, Kova na Kante timu inakose creativity kabisa. So lazima Mount awepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa Caballero weka Keppa mkuu.Prediction ya lineup & formation Vs Man utd next weekend.. 4-3-3
Caballero
James
Azpilicueta
Chris/Zouma/Tomori
Rudiger
Kovacic. Jorginho. Kante/ Loftus Cheek (kama atakuwa cleared fit maana amecheza game ya reserves juzi.)
Pullisic. Tammy. Willian
Kwa 3-4-3
Caballero
Azpilicueta. Rudiger. Tomori/Zouma
Kovacic. Jorginho. Kante. Alonso
Willian. Tammy. Pulisic.
Kwa njia yeyote lampard atakuwa expected to lineup his strongest midfield options maana Man utd expect Labile Pogba to be fit kwa hiyo game joining kina fred, matic na Bruno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jogi na Kante ni pure defensive midfielders ila ni kama hawana Chemistry inayoendanaNimewapata wakuu so Joginho ni HOLDING MIDLFELDER AU DEFENSIVE MIDFLIFER?
Sent using Cash Money Wings
Mkuu kwa midfielder watatu Kante anacheza advance role, Formation ya Conte ya 3-4-3 ilikuwa na midfilders wawili na wote walikuwa na defensive roles Kante akiwemoUkiwaanzisha Jog, Kova na Kante timu inakose creativity kabisa. So lazima Mount awepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kova tangu lini akacheza kama wing-back. Formation ya 3-4-3 ni ya wing-backs hapo pembeni katikati lazima Alonso na Reece wacheze kama wing-backs. Nyuma ni CB watatu tu ambao ni Rudiger, Christensen na Tomori au Zouma. Kwenye hiyo formation huwa hakuna LB wala RB na pia midfielders wanakuwa ni wawili tuPrediction ya lineup & formation Vs Man utd next weekend.. 4-3-3
Caballero
James
Azpilicueta
Chris/Zouma/Tomori
Rudiger
Kovacic. Jorginho. Kante/ Loftus Cheek (kama atakuwa cleared fit maana amecheza game ya reserves juzi.)
Pullisic. Tammy. Willian
Kwa 3-4-3
Caballero
Azpilicueta. Rudiger. Tomori/Zouma
Kovacic. Jorginho. Kante. Alonso
Willian. Tammy. Pulisic.
Kwa njia yeyote lampard atakuwa expected to lineup his strongest midfield options maana Man utd expect Labile Pogba to be fit kwa hiyo game joining kina fred, matic na Bruno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini Yanga wakawapangia Simba timu?