Usajili umeshafungwa , hapa tuendelee kuugulia maumivu tu kwakwelDah ila leo tungepigwa tu labda bodi ingefanya usajili wa fastafasta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee sari kilichokuwa kinambeba ni uwepo wa hazard, hazard kunamech alikuwa anaamua matokeo yeye kama yeye angalia mechi ya westham, liverpool carabaoLast season vs This season..
Lampard is the downgrade of Sarri.. Last season tulipoteza gemu 8 full season,, mwaka huu gemu ya 25 tu tumeshafikisha iyo idadi,, sijui hadi mwisho wa msimu itakuaje
Lampard kinachom"beba ni uingereza wake tuu,, angekua sio mzawa najua criticism zingekua zakutosha..
Last minute of leicester game tumecheza kama timu ndogo. timu iliyoridhika na sare ..
Leicester walicheza wakionesha kabisa wanataka matokeoView attachment 1343443View attachment 1343444
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee sari kilichokuwa kinambeba ni uwepo wa hazard, hazard kunamech alikuwa anaamua matokeo yeye kama yeye angalia mechi ya westham, liverpool carabao
Saiv chelsea hatuna mtu kama hazard ambae anaweza amua matokeo mda wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikataa rufaa ya nin,, means waliona pengo la Hazard...Mzee sari kilichokuwa kinambeba ni uwepo wa hazard, hazard kunamech alikuwa anaamua matokeo yeye kama yeye angalia mechi ya westham, liverpool carabao
Saiv chelsea hatuna mtu kama hazard ambae anaweza amua matokeo mda wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Its true tunacheza mpira mzuri tu..Lkn mbona Lampard anafundisha mpira mzuri tu sema ninachokiona anakosa baadhi ya wachezaji sahihi
Hakuna goli la set pieces leo ila sisi ndio tuliofunga yote mbili kwa set piecesIts true tunacheza mpira mzuri tu..
Na hauna tofauti na ule wa sarri..
Same passes, a lot of them.. Lakin creativity pamoja na scoring iko pale pale..
Weakness kwenye kuokoa mipira ya set pieces uko pale pale...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakosoa uwongo wako unaanza kumsingizia tena... Wapi kasema ameridhika kwanSo unakenua meno 32 bila wasiwasi kabisa huku ukiridhika na suluhu ya 2 2 nakati hiyo top 4 tunaidondosha muda wowote kwa muendelezo wa matokeo mabovu mfululizo?. [emoji57][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Evans amekosa clear chance ,, labda kama hukuangalia mpira..Hakuna goli la set pieces leo ila sis ndio tuliofunga yote mbili kwa set pieces
1. Tumecheza vizuri
2. Tumetengeneza nafasi nyingi
3. Tatizo umaliziaji
4. Tunaendelea kufanyia kazi changamoto ndogo ndogo
Sent using Cash Money Wings
Tunazungumzia game la leoEvans amekosa clear chance ,, labda kama hukuangalia mpira..
Newcastle alitufunga, na pia waligongesha mwamba kwa aina ile ile ya mipira
Liverpool alitufunga kwa set pieces,, achana na goli la TAA Lile la firmino..
Saiv tunaweza pata kona zaidi ya 10 na tusifunge , na timu pinzina ikipata walau kona tatu ujue 90% watapata goli..
Na hapo ndo ninapokuambia tuna weakness kwenye hiyo mipira
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio muda wenu muafaka kupisha wanaume pale Top41. Tumecheza vizuri
2. Tumetengeneza nafasi nyingi
3. Tatizo umaliziaji:- Tunaendelea kufanyia kazi hili
Sent using Cash Money Wings
Kakosoa uwongo wako unaanza kumsingizia tena... Wapi kasema ameridhika kwan
Hakuna mwanaume wa kuingia top 4 mpaka ligi iishe. Wote wana mafua kali kuzidi hata Chelsea na Leicester cityHiki kikundi cha wahuni (chelshitty) umu mpo?
Sasa ni muda muafaka kupisha wanaume Top4
Sent using Jamii Forums mobile app